Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Labda Slay Queens.Tujipumzishe kidogo na siasa na tuangalie masuala ya kijamii. Kwanini idadi kubwa ya wanawake hawataki kuzaa kabisa au hawataki kuzaa watoto wengi (zaidi ya wawili au watatu).
Je tatizo ni uchumi, kuporomoka kwa misingi ya familia, tamaduni ngeni au kukosekana kwa sapoti ya kutosha kutoka kwa wenza wao (wanaume).
Kwenye mazingira unayoishi na kwa uelewa wako, unaona sababu ni nini?
Wengi uwezo wenyewe wa kuzaa watoto wengi hawana.wengi mayai yalisha poteza uwezo wa kutungishwa mimbaTujipumzishe kidogo na siasa na tuangalie masuala ya kijamii. Kwanini idadi kubwa ya wanawake hawataki kuzaa kabisa au hawataki kuzaa watoto wengi (zaidi ya wawili au watatu).
Je tatizo ni uchumi, kuporomoka kwa misingi ya familia, tamaduni ngeni au kukosekana kwa sapoti ya kutosha kutoka kwa wenza wao (wanaume).
Kwenye mazingira unayoishi na kwa uelewa wako, unaona sababu ni nini?
Wengi wao ni Single mother ndiyo hawataki kuzaa kwasababu mtoto wa kwanza wamezaa nje ya ndoa na hawajaolewa,Sasa unafikiri watakubali kuzaa tena nje ya ndoa?Tujipumzishe kidogo na siasa na tuangalie masuala ya kijamii. Kwanini idadi kubwa ya wanawake hawataki kuzaa kabisa au hawataki kuzaa watoto wengi (zaidi ya wawili au watatu).
Je tatizo ni uchumi, kuporomoka kwa misingi ya familia, tamaduni ngeni au kukosekana kwa sapoti ya kutosha kutoka kwa wenza wao (wanaume).
Kwenye mazingira unayoishi na kwa uelewa wako, unaona sababu ni nini?
Kifalsafa maisha ni mahangaiko tu.Tujipumzishe kidogo na siasa na tuangalie masuala ya kijamii. Kwanini idadi kubwa ya wanawake hawataki kuzaa kabisa au hawataki kuzaa watoto wengi (zaidi ya wawili au watatu).
Je tatizo ni uchumi, kuporomoka kwa misingi ya familia, tamaduni ngeni au kukosekana kwa sapoti ya kutosha kutoka kwa wenza wao (wanaume).
Kwenye mazingira unayoishi na kwa uelewa wako, unaona sababu ni nini?
Kwahiyo inawezekana tatizo ni single mothers kutoolewa, ila kama wangekua ndani ya ndoa basi wangezaa watoto zaidi.Wengi wao ni Single mother ndiyo hawataki kuzaa kwasababu mtoto wa kwanza wamezaa nje ya ndoa na hawajaolewa,Sasa unafikiri watakubali kuzaa tena nje ya ndoa?
Ndiyo maana ukimkuta mwanbamke ana miaka 36 ana mtoto mmoja huyo atakua single mother.
Ya kweli haya πWanaogopa kupanuka naniliu zao
Ya kweli haya π
Ongeza wawiliWatatu boss, wanatosha au tuendelee π€°π½
Kumbe wewe ni mtu wa maana kabisa.Watatu boss, wanatosha au tuendelee π€°π½
Ndo maana mnaambiwa hamtaki kuzaa, watoto watatu ndo nini sasa?Watatu boss, wanatosha au tuendelee π€°π½
Nadhani sababu ya kwanza ni Kipato hakikidhi mahitaji ya kumudu gharama ya malezi.Tujipumzishe kidogo na siasa na tuangalie masuala ya kijamii. Kwanini idadi kubwa ya wanawake hawataki kuzaa kabisa au hawataki kuzaa watoto wengi (zaidi ya wawili au watatu).
Je tatizo ni uchumi, kuporomoka kwa misingi ya familia, tamaduni ngeni au kukosekana kwa sapoti ya kutosha kutoka kwa wenza wao (wanaume).
Kwenye mazingira unayoishi na kwa uelewa wako, unaona sababu ni nini?
Hata waliopo kwenye ndo mfano mmeoana na mmepanga mnakaa vingunguti chamba kimoja au kimoja na sebule baba yake mchoma chips buguruni hao hao watoto wengi mtawalaza wapi na mtawalisha Nini achia mbali kuwasomeshaWengi wao ni Single mother ndiyo hawataki kuzaa kwasababu mtoto wa kwanza wamezaa nje ya ndoa na hawajaolewa,Sasa unafikiri watakubali kuzaa tena nje ya ndoa?
Ndiyo maana ukimkuta mwanbamke ana miaka 36 ana mtoto mmoja huyo atakua single mother.