Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
Sio kweli,we we ndo unataka kuhalalisha ionekane ushoga ni kitu cha kawaida.Mwezi uliopita nilikuwa mitaa ya Sinza A, usiku Kama saa 7 nakatisha nitokee kituo cha Mlimani City. Maeneo karibu na Campus Guest House njiani nikakuta mwamba kamuinamisha kidume mwenzake ile nasogea naona wanaondoka kufika kwenye kona karibu na ghorofa linapojengwa kulikuwa na kiza naona raia wanadendeka.
Nimewapita huyo mmoja alikuwa kavaa pensi fupi sana na huyo mwingine yeye alikuwa kageuka sura isionekane.
Daah saizi watu wamehalalisha mambo haramu.