Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

Kwasababu binadamu tunazidi kudidimia kiakili kuliko kuongezeka upeo.
 
Unauliza swali la kipuuzi wakati hilo ni tendo la watu wawili.

Ukiona wanawake wanafirwa basi ujue kuna wafiraji wanaowafira.

Unaonaje ukiandika, kwanini wanaume wengi wamekuwa wafiraji?

Usianze kuhamisha magoli. Unawafira mwenyewe halafu unauliza kwanini wanafirwa!? Eboo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi bro, punguza hasira , yameisha msije kupigana .. tujihadhari na corona.
 
Unauliza swali la kipuuzi wakati hilo ni tendo la watu wawili.

Ukiona wanawake wanafirwa basi ujue kuna wafiraji wanaowafira.

Unaonaje ukiandika, kwanini wanaume wengi wamekuwa wafiraji?

Usianze kuhamisha magoli. Unawafira mwenyewe halafu unauliza kwanini wanafirwa!? Eboo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana nawe. Chanzo ni sisi wanaume.
Simple economic theory. Demand and Supply. Demand ikiwa kubwa lazima suppliers wafanye juhudi kuongeza bidhaa sokoni ili kukidhi mahitaji ya wateja.

So simply chanzo cha ongezeko ni wanaume wengi kuongezeka wanaopenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile. Simple.
 
Wanaume 9 kati ya 10 wanapenda kufanya; wanawake 6 kati ya 10 wanafanya. So ni mwanaume 1 tu haombi/kufanya. Wanawake 4 hawafanyi. Chanzo na kuenea ni sisi wanaume, tusiwasingizie wanawake. Kama sio wewe uliyemwanzishia huyo mwanamke basi jua yupo. Kwahiyo unapokutana na mwanamke wa hivyo jua anakuchukulia wewe kama yuleeee. Kama ni kweli tunahitaji kupunguza na kulinda kizazi chetu ni kila mmoja kwa nafsi yake kukataa kutumia ama kutumika.
Wanaume 9 kati ya 10 wanalaizmisha kuwala wanawake tigo ss kwann wanawake wasiongezeke
 
Shirika moja lisilo la kiserikali la WC lilifanya utafiti na kubaini kuwa wanawake 6 kati ya 10 wanafanya mapenzi kinyume na maumbile (tigo) Kwanini kuna ongezeko la kushamiri kwa vitendo hivyo hivi sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Watumiaji wa hiyo kitu tumekuwa wengi ndio maana kuna ongezeko la wadada wanaotoa hiyo huduma. Refer to Supply & Demand Theory.
 
Kujadili hizi mada inachangia kuongezeka pia..bahati nzuri hutaona mtumiaji wa mtandao pendwa kwenye Uzi... hadi mada inaisha kila mtu atakemea
 
Back
Top Bottom