Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

Kwasababu binadamu tunazidi kudidimia kiakili kuliko kuongezeka upeo.
 
Basi bro, punguza hasira , yameisha msije kupigana .. tujihadhari na corona.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana nawe. Chanzo ni sisi wanaume.
 
Wanaume 9 kati ya 10 wanapenda kufanya; wanawake 6 kati ya 10 wanafanya. So ni mwanaume 1 tu haombi/kufanya. Wanawake 4 hawafanyi. Chanzo na kuenea ni sisi wanaume, tusiwasingizie wanawake. Kama sio wewe uliyemwanzishia huyo mwanamke basi jua yupo. Kwahiyo unapokutana na mwanamke wa hivyo jua anakuchukulia wewe kama yuleeee. Kama ni kweli tunahitaji kupunguza na kulinda kizazi chetu ni kila mmoja kwa nafsi yake kukataa kutumia ama kutumika.
Wanaume 9 kati ya 10 wanalaizmisha kuwala wanawake tigo ss kwann wanawake wasiongezeke
 
Shirika moja lisilo la kiserikali la WC lilifanya utafiti na kubaini kuwa wanawake 6 kati ya 10 wanafanya mapenzi kinyume na maumbile (tigo) Kwanini kuna ongezeko la kushamiri kwa vitendo hivyo hivi sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Watumiaji wa hiyo kitu tumekuwa wengi ndio maana kuna ongezeko la wadada wanaotoa hiyo huduma. Refer to Supply & Demand Theory.
 
Kujadili hizi mada inachangia kuongezeka pia..bahati nzuri hutaona mtumiaji wa mtandao pendwa kwenye Uzi... hadi mada inaisha kila mtu atakemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…