kama ni msg za whatsaap (ama zote zinazotumia internet) nunua simu inaitwa OnePlus (toleo la tano na kuendelea) humo kuna jinsi ya kupiga pini app moja moja isi access mtandao kwa mda unaotaka..in other words unaweza kuja na simu yako home ukamkabidhi mke akacheza nayo hadi asubuhi asione msg ikiingia.... kama ni msg za kawaida (text) nenda google store download app ya sms inaitwa TEXTRA... hii ina settings za ku black list mtu mmoja mmoja ujumbe usikufikie au ukufikie mda utakapomfungulia toka blacklist..
Mwishoni kabisa ni michezo ya hatari mno unacheza na unahatarisha afya ya mkeo na familia yako..i hope huko "chini" ulikopewa ulivaa condom...