Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

Ukiwa na hofu ya Mungu ukijua kabisa kuwa Mungu aliangamiza miji ya Sodoma na Gomola kwaajili ya tabia hii hutathubutu maana unakuwa umejiingiza kwenye laana moja kwa moja.
 
They say that the world is ran by modern society. Ukisasa unawaaribu waafrika wengi sana.
 
Mungu atunusuru

watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa :angry:
 
Mmmmh sidhani kama wanapenda......ila wanaume ndo wanapenda maana hata kwa hali ya kawaida sidhani kama mwanamke anafurahia tendo linalofanyika kinyume cha maumbile...wanatoa kwa sababu wanaume wao wanataka na kuwanyima wanaogopa kuwaudhi
 
waafrika 2badilike.na kwanin cerikali waclifikirihe hili.dawa ya wa2 kama awa ni kuchinjwa na c kufungwa jela kutakuwa na mcamaha wa laic.
 
waafrika 2badilike.na kwanin cerikali waclifikirihe hili.dawa ya wa2 kama awa ni kuchinjwa na c kufungwa jela kutakuwa na mcamaha wa laic.

Kwanza kiswahili chako ni cha kifacebook, nachukizwa mno na watu wanaoona kila kitu kibaya ni cha waafrika au kinafanywa na waafrika, huo upuuzi was kulawitiana huko ulaya ulianza hata kabla hujazaliwa na leo hii ni jambo la kawaida kabisa kiasi wamefikia kuhalalisha ushoga na kuwa kama haki za binadamu
 
Ni kazi ya jini mahaba kuwafundisha watu;kuwafanya vichaa wa uasherati na kufurahia ufiraji !
{YUDA 1:6~8
ROMANS 1:26~28
 
Ukiwa na hofu ya Mungu ukijua kabisa kuwa Mungu aliangamiza miji ya Sodoma na Gomola kwaajili ya tabia hii hutathubutu maana unakuwa umejiingiza kwenye laana moja kwa moja.

Aisee fyddell watu wanakulana hadi basi gesti nyingi na hata hotel siku hizi ni jambo la kawaida kabisa kukuta vikopo vya rays, ukiuliza vya mini wanaishia kuchekacheka tu
 
Last edited by a moderator:
Mm binafsi niliwai kuwa na mpnz wanamna hiyo alinilazimisha nimuingilie kinyume na maumbile nilijali baadae nilikataa nilijalibu kumchunguza nikagundua anangalia porn zenye mambo ayo ivo mimi sishauri yafanyike mambo ayo
 
Aisee fyddell watu wanakulana hadi basi gesti nyingi na hata hotel siku hizi ni jambo la kawaida kabisa kukuta vikopo vya rays, ukiuliza vya mini wanaishia kuchekacheka tu
Kama ndivyo hivyo mshana jr waache waendelee maana Mungu alisema hatauangamiza tena ulimwengu hadi ile siku ya mwisho ya hukumu baada ya angamizo chini ya Nuhu. Hakika adhabu yao itakuwa maradufu tukiachana na kupewa a dhabu zinginge hapa duniani.
 
Acheni kujiwekea unafuu, kwa wakristo soma waebrania 13:6 na kuendelea muone paulo anawambiaje hawa waebrania; tendo la kujamiiana limehararishwa kwa wanandoa tu, uzinzi na uasherati ni machukizo kwa Mungu. Anayefanya uasherati na uzinzi bila kujali anaingia au kuingiziwa sehemu gani ni mharifu tu na atahukumiwa.
 
Yaani nilikutana na mmoja nikafikiri anaweza kuwa yf material eeeh! siku nimeomba mzigo nikapewa wakati nafanya yangu nashangaa yeye anaanza kubadilisha uelekeo wa mashine

Nikabadilisha, wakati wa mapuziko akaniambia mbona hutaki nikasema nini? akajibu mimi ninachotaka? nikamwambia kipi? akajibu hujui? nikasema ndio? akasema nitakuonesha

Basi akamuamsha mzee halafu akakaa mkao wake kisha akamkamata mzee kichwa wazi akamuelekeza kwenye njia anayotaka apite huku akisema nataka uingie hapa, aisee hapo hapo stimu zikaniisha kwasababu nilimuwazia labda ni yf material sasa kwa hili mmmh!

Nikajiuliza kwanini anataka huko? sikupata jibu kabisa, kiukweli alinikatisha tamaa na sikufanya alichotaka basi akanikasirikia sana na mchezo ukaishia hapo hapo. Sasa najiuliza inakuwaje mtu anataka azibuliwe choo bila kuita gari la maji taka?
 
ndo wyf mtrl pia kwana wake hao hao wanatoa hzo
 
Hawa ndio wanadamu wa leo....wanadamu walioasi upendo wa muumba na kujinasibisha na yule mwovu kwa matendo machafu.....wanadamu wanaodhani kuwa kila linalofurahisha nafsi zao basi ni halali kwao kulitenda hata kama lipo kinyume na muumba wao na lina madhara kwao...imekuwa ngumu kuwatofautisha wanadamu wa leo na yule mwovu ibilisi kwa matendo yao...wamejitoa wenyewe katika utukufu wa MUNGU kwa tama za miili yao....wanatimiza kila takwa la miili yao lakini si matakwa ya aliyewaumba.....wanatumia gharama kubwa kutenda maovu makubwa....kitu walichokisahau wanadamu wa leo ni kuwa mwisho wao utakuwa wa kulia na kusaga meno.......
 
Duh!! mkuu, siku hizi unatangaza injili?
bahati mbaya ni kwamba Mungu anavyozidi kuhubiriwa ndivyo watenda maovu wanavyozidi kuongezeka. yaani uoga wa Mungu umetuisha kabisa wanadamu.
 
Back
Top Bottom