Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

Wala sio akili kutokuwa na akili timamu. Mambo hayo hufanyika ukiwa unajielewa kabisa.
Tulia na mume wako ndani lakini ukisema utoke na wanaume wa mtaani hiyo hadha ya kuingiliwa kinyume na maumbile lazima ikukute.
Sifhani kama kuna mwanamke mwenye akili timamu anaweza initiate kuingiliwa kinyume. Nyie wanaume mnawabembeleza sana na sie tulivyo mambulula wa kutaka kuwaridhisha tunafanya hivyo.
 
kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

Naomba mawazo yenu wana JF

------------------------------

Asilimia 26.5 wanawake hufanya mapenzi kinyume na maumbile:

mchoro.jpg

KWA UFUPI

Wakati idadi ya wanawake wenye maambukizi ya Virusi vya Ukimwi ikiongezeka, asilimia 26.5 ya wanawake Tanzania wamebainika kuwa wanafanya mapenzi kinyume na maumbile. Wakati idadi ya wanawake wenye maambukizi ya Virusi vya Ukimwi ikiongezeka, asilimia 26.5 ya wanawake Tanzania wamebainika kuwa wanafanya mapenzi kinyume na maumbile.

Mfumo wa uzazi unaharibika

Watafiti wanabainisha kuwa kitendo hicho licha ya ukweli hakifai kwa vile kinaharibu mfumo wa uzazi, kina athari kubwa mno kwa mwanadamu, mojawapo ni ikiwemo uwezekano mkubwa wa wahusika kuambukizana virusi vya Ukimwi kwa vile hakuna vilainishi, hivyo kusababisha michubuko ambayo ndio njia kuu ya kuambukiza vijidudu hivyo.

Mtafiti Mwanasayansi, Irene Mremi kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu nchini Tanzania (NIMR) alitoa ripoti hiyo hivi karibuni hapa jijini Dar Es Salaam. Mremi akiwa na jopo la watafiti kutoka NIMR anasema kuwa wanawake hao wamesema chanzo kikubwa kinacho wapelekea kufanya ngono kinyume na maumbile ni kujipatia kipato zaidi na Kuogopa kupata Mimba.

Vilevile alizitaja sababu nyingine za wanawake kufanya mapenzi kwa njia hiyo ni kulinda usichana wao na baadhi ya mila na tamaduni za baadhi ya makabila.

Sampuli za utafiti

Utafiti huo ulikusanya sampuli kutoka katika mikoa ya Dar es salaam, hasa maeneo ya Kinondoni, Tanga, Makete na Siha. Mremi anasema "Utafiti wetu uliwahusisha wasichana na wanawake wa rika kuanzia miaka 15 na kuendelea na kada tofauti katika jamii kama wanafunzi, wafanyakazi, wahudumu wa bar, wauguzi, makahaba na akina mama wa nyumbani. Katika maeneo hayo watu 903 walijitokeza wakiwepo pia wanaume ambao walihusishwa katika utafiti huo.

Imani potofu kwa wanaume

Wanaume waliohojiwa wamesema wanafanya kwa ajili ya kupata raha tu na imani ya kuwa huko hakuna maaambukizi ya VVU, kitu ambacho ni uongo, kwani huko ndiko kwenye kuchangia ukimwi kwa haraka zaidi kuliko sehemu nyingine yoyote. Katika utafiti huo, wanawake 44 kati ya 166 waliohojiwa walisema wanafanya tendo la kujamiiana kinyume na maumbile, licha ya kwamba ni jambo linalokatazwa na dini zote.

Tanga yaongoza

"Tanga ndiyo kumeonesha kukithiri kwa vitendo vya wanawake kufanya mapenzi kinyume na maumbile ukilinganisha na Makete ambako bado kuna idadi ndogo" anasema Mremi

Fikra za kulinda ubikira

Ilibainika kuwa wasichana wengine walikiri kufanya hivyo kwa ajili ya kulinda ubikira wao na baadhi ni mila na tamaduni za baadhi ya makabila.

Dk Mremi amekaririwa akisema " Utafiti wetu uliwahusisha wasichana na wanawake wa rika kuanzia miaka 15 na kuendelea na kada tofauti katika jamii kama wanafunzi, wafanyakazi, wahudumu wa baa, wauguzi, makahaba na akina mama wa nyumbani. Katika maeneo hayo watu 903 walijitokeza wakiwepo wanaume ambao walihusishwa katika utafiti huo". Wakati wa utafiti huo wanawake 44 kati ya 166 waliohojiwa walisema wanafanya tendo hilo.

Dk Eliza Shayo, ambaye pia alishiriki katika utafiti huo anasema sababu ya kufanya utafiti huo ilikuwa ni kuangalia visababishi vya kusambaa kwa Ukimwi.

"Lakini pia tuliweza kujua tatizo la kufanya mapenzi kwa njia hiyo lina ukubwa kiasi gani" anasema. Dk Shayo pia anasema utafiti huo uliangalia iwapo wanaofanya vitendo hivyo hutumia kondom au la. Wengi walionekana kutotumia kondom wakifikiri hawawezi kupata virusi vya Ukimwi, imani ambayo sio sahihi.

Ni changamoto

Mwenyekiti wa Mtandao wa Jinsia Kusini mwa Afrika, (GEMSAT) Dominica Haule anasema utafiti huu ni changamoto kwa serikali, watunga sera na vyombo vya sheria. "Ni wakati muafaka wa kujadiliana nini kifanyike kupunguza tatizo hili. Hii ni hatari na haikubaliki," anasema Haule. Anasema wadau wa afya hawana budi kuhakikisha wanafuatilia kwa ukaribu na kuweka wazi madhara ya vitendo hivyo.

Mhadhiri wa Masuala ya Saikolojia, Dk Kitila Mkumbo anasema suala hilo linaweza kuwa na athari kiafya.

"Kisaikolojia, kama wao wawili wamekubalina sawa, lakini kiafya lina athari kubwa," anasema

Dk Mkumbo anasema ufanyaji wa mapenzi upo wa aina nyingi wengine hufanyia mdomoni, inategemea na makubaliano, lakini kiafya inaweza kuwa na athari. Dk Meshack Shimwela, Daktari bingwa wa Magonjwa ya Ndani ya Mwili kutoka hospitali ya Amana anasema mwanamke ambaye hufanya mapenzi kinyume na maumbile huathirika na kuacha kufurahia tendo hilo kwa njia ya kawaida.

"Lakini pia, wengi hujihisi kama wamelaaniwa na wanakosa kujiamini" anasema na kuongeza kuwa hata kama anaweza kufanya kwa mkumbo, baadae hujutia hasa anapojikuta anapata athari kubwa za kiafya kuliko furaha. Dk Shimwela anasema kitendo hicho husababisha bakteria wasiohitajika kuingia katika sehemu ya haja kubwa na kuleta uambukizo.

"Eneo la haja kubwa limeumbwa kutoa na si kuingiza. Hivyo kitendo hicho husababisha uharibifu na kulegea kwa misuli" anasema

Anasema maradhi mengine ambayo hujitokeza katika sehemu ya haja kubwa pindi mtu anapofanya mapenzi kwa njia hiyo hayana tiba. Anaongeza kuwa wanawake hupata madhara wakati wa kujifungua na hatari ya kupata maambukizi ya VVU ni kubwa zaidi.

Hatari kuu Jarida la Havard la afya ya Wanawake (Havard Women Health Watch) linaeleza kuwa ufanyaji wa mapenzi kwa njia ya haja kubwa ni chanzo kikuu cha maradhi ya kuambukiza ukiwemo Ukimwi.Hii ina maana kuwa watu ambao wanafanya vitendo hivyo wana athari kubwa za kupata virusi vya Ukimwi.

Kwanini ni hatari?

Tishu zilizo katika njia ya haja kubwa ni laini na hazina maji maji, hivyo huchanika kwa urahisi wakati wa tendo na kuingiza vijidudu.
Utafiti kama huu ulifanywa nchini Marekani mwaka 2005 na kituo cha Kudhibiti Maradhi ya Kuambukiza (CDCP). Katika utafiti huo asilimia 40 ya wanaume na 35 ya wanawake wenye umri wa kuanzia miaka 25 na 44 walikiri kufanya tendo hilo kinyume na maumbile.

Wanatumia matambala kuziba kinyesi

Kuna athari kubwa za kufanya kitendo hicho, baadhi ya watu hujikuta wakivaa matambaza ili kuzuia kinyesi kisitoke kwa vile mfumo wa haja kubwa huwa umelegezwa.

Profesa wa Chuo Kikuu cha tiba cha Colombia, Judy Kuriansky anasema "Inashangaza kuona watu wanafanya mapenzi kwa njia hiyo wakidhani wanajikinga na Ukimwi, huko ni kujidanganya, ukweli ni kuwa njia hiyo ndio inayoweza kumfanya mtu kupata virusi kwa urahisi zaidi". chanzo.

Asilimia 26.5 wanawake hufanya mapenzi kinyume na maumbile - mwanzo - mwananchi.co.tz
haka katabia huanza na kuchezewa kidole kwenye tigo na mwanamke anakuwa katulia then mwanaume anaweza kuzamisha dushelele lake na mwanamke akawa ametulia.Kwa hiyo wadada ukiona jamaa anapeleka hata mkono mkataze japo sina data ila baadhi ya watu wanaojiita wanasayansi wa mtaani hudai kuwa sehemu ya nje ya tigo inautamu sana kama itachezewa kwa ustadi wa hali ya juu.by ntogwanyo
 
kuufuta ule uzi tumefanyiwa ukatili sana mi unaniuma mpaka kesho mwenyewe huwa najipa siku tatu ujae jae nikacheke kuna siku naucheki nakuta ume blockiwa uuuwiiii niliumia sana
Mi huwa napita kuusoma kwa post kali za zamani[emoji29][emoji29]
 
Hawap

Hawapendi ila wanapenda pesa na liwati bei yake ni kubwa zaidi ya zinaa ya kawaida. Kwa kuwa siku hizi tendo la ngono ni biashara kamili na huria, basi mlipia huduma ya ngono anachagua huduma anayotaka, sababu kuu ni tamaa ya pesa na pili ni kutokana na ngono kuwa biashara tofauti na zamani
 
haka katabia huanza na kuchezewa kidole kwenye tigo na mwanamke anakuwa katulia then mwanaume anaweza kuzamisha dushelele lake na mwanamke akawa ametulia.Kwa hiyo wadada ukiona jamaa anapeleka hata mkono mkataze japo sina data ila baadhi ya watu wanaojiita wanasayansi wa mtaani hudai kuwa sehemu ya nje ya tigo inautamu sana kama itachezewa kwa ustadi wa hali ya juu.by ntogwanyo
[emoji2219][emoji2219][emoji2219][emoji2219][emoji2219]
 
Sahv kila mwanamke anapenda awe na kalio kubwa
Wakivaa wanatutega, wakiweka pozi wanatuonesha kalio
Asilimia 80 ya wadada wanatoa jicho sahv
Usione wadada wako kwenye mandiga etc ukiwa Pima marinda ni fumuuuuuu

Ova
Wana makalio makubwa si nasikia akiingizia huko nyuma anaongeza kalio
 
Nimefanya utafit mdog nikagundua weng wanapenda kuliwa tigo mwanzo anajidai hatak ila ukijaribu kumuweka anatulia wala hata hakatai, sema kula tigo ni dhambi sana pale hadi shetani huwa anakimbia hataki ushahidi
Ndugu mtafiti umetumia aina ipi ya utafiti
 
haka katabia huanza na kuchezewa kidole kwenye tigo na mwanamke anakuwa katulia then mwanaume anaweza kuzamisha dushelele lake na mwanamke akawa ametulia.Kwa hiyo wadada ukiona jamaa anapeleka hata mkono mkataze japo sina data ila baadhi ya watu wanaojiita wanasayansi wa mtaani hudai kuwa sehemu ya nje ya tigo inautamu sana kama itachezewa kwa ustadi wa hali ya juu.by ntogwanyo
Lolo lo!!
 
Mkuu nipo busy siku hzi ninawatibia watu wenye maradhi Sugu yasiyoweza kutibika Mahospitalini kama Maradhi ya Saratani, (Cancer)Maradhi ya Homa ya ini, (Hepatitic B Virus) Maradhi ya Kisukari, Maradhi ya Ukimwi, Maradhi ya Tezi Dume (Prostate Cancer) Maradhi Sugu ya UTI na Maradhi mengine mengi yasiyo weza kutibika Mahospitali ndio maana nina kazi nyingi sionekani sana Majukwaani.
kWELI MKUU UMEPOTEA SANA
 
Back
Top Bottom