Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Blaine huko Tanga wangeshafungwa na magereza ya Mkoa huo yangejaa, nimejaribu kuangalia hiyo consenting adults Katika Kamusi ya makosa ya Jinai, Sheria za Ndoa 1971hakuna labda ngoja niingie tena google au weka Link
someone who is legally old enough and is willing to take part in an activity, especially a sexual activity
Thesaurus entry for this meaning of consenting adult
Consenting Adults (1992 film) - Wikipedia, the free encyclopedia
Sijaona adhabu hiyo, ni vizuri tuiingize kwenye Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano

Katika utafiti huo, wanawake 44 kati ya 166 waliohojiwa walisema wanafanya tendo la kujamiiana kinyume na maumbile, licha ya kwamba ni jambo linalokatazwa na dini zote.
Tanga yaongoza
"Tanga ndiyo kumeonesha kukithiri kwa vitendo vya wanawake kufanya mapenzi kinyume na maumbile ukilinganisha na Makete ambako bado kuna idadi ndogo" anasema Mremi
Last edited by a moderator: