Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

Blaine huko Tanga wangeshafungwa na magereza ya Mkoa huo yangejaa, nimejaribu kuangalia hiyo consenting adults Katika Kamusi ya makosa ya Jinai, Sheria za Ndoa 1971hakuna labda ngoja niingie tena google au weka Link
someone who is legally old enough and is willing to take part in an activity, especially a sexual activity
Thesaurus entry for this meaning of consenting adult
Consenting Adults (1992 film) - Wikipedia, the free encyclopedia
Sijaona adhabu hiyo, ni vizuri tuiingize kwenye Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano
Katika utafiti huo, wanawake 44 kati ya 166 waliohojiwa walisema wanafanya tendo la kujamiiana kinyume na maumbile, licha ya kwamba ni jambo linalokatazwa na dini zote.

Tanga yaongoza

"Tanga ndiyo kumeonesha kukithiri kwa vitendo vya wanawake kufanya mapenzi kinyume na maumbile ukilinganisha na Makete ambako bado kuna idadi ndogo" anasema Mremi
 
Last edited by a moderator:
Blaine huko Tanga wangeshafungwa na magereza ya Mkoa huo yangejaa, nimejaribu kuangalia hiyo consenting adults Katika Kamusi ya makosa ya Jinai, Sheria za Ndoa 1971hakuna labda ngoja niingie tena google au weka Link
someone who is legally old enough and is willing to take part in an activity, especially a sexual activity
Thesaurus entry for this meaning of consenting adult
Consenting Adults (1992 film) - Wikipedia, the free encyclopedia
Sijaona adhabu hiyo, ni vizuri tuiingize kwenye Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano
mkifanya kwa makubaliano, mmeridhia, not forced etc. ukimla kabang mkeo kwa ridhaa yenu then mnaweza kushtakiwa na kufungwa jela...... hiyo sheria ipo now.
 
tym will tel,waache waendelee kuharibiwa sio watt wadogo hao kusema hawaelewi kinachoendelea!!
...NB,Mungu yupo!!
 
mkifanya kwa makubaliano, mmeridhia, not forced etc. ukimla kabang mkeo kwa ridhaa yenu then mnaweza kushtakiwa na kufungwa jela...... hiyo sheria ipo now.
Weka hivyo vifungu hapa au Link yake kwani ni Jukwaa Huru na Vitabu vya Sheria vipo humuhumu
au nikupe Kesi ya Maumba na watoto wa Primary watoto waliokuwa na chini ya miaka 14
Hapa wanazungumzia wanawake sasa wewe unaleta mambo ya mke wangu tena tungejadili Mada na adhabu zake maana hutaki kurudi kwenye hoja ya jela 14yrs
Usiku mwema

Mremi anasema "Utafiti wetu uliwahusisha wasichana na wanawake wa rika kuanzia miaka 15 na kuendelea na kada tofauti katika jamii kama wanafunzi, wafanyakazi, wahudumu wa bar, wauguzi, makahaba na akina mama wa nyumbani
 
sorry hapo red, it wasn't my intention to offend.
there is this LGBT rights in Tanzania - Wikipedia, the free encyclopedia ,

http://www.saflii.org/tz/legis/num_act/sospa1998366.pdf
soma replacement of section 154, wanaongelea ''unnatural acts''. nilikosea urefu wa kifungo, lakini adhabu ipo

mi ntaendelea kula 0713 mpaka mwisho bahati nzuri nao wapata asilimia kubwa nikiwaomba wana nielewa na wana nipa
 
Revocatus Kashaga naona kama sababu walizozitoa hao watafiti za kwa nini watu wanafanya vitendo hivyo ni chache sana. Kuna sababu nyingine kama vile wadada kulazimishwa na wapenzi wao au pengine hata wadada wenyewe kuamua kuwapa wapenzi wao hizo huduma wakiamini kuwa huenda wakiwapa wanaweza kutulia nao na kamwe hawataweza kutoka nje ya ndoa, Wapo pia wengine wanaojaribu kutest tu kuona inakuwaje na mwisho wa siku wanajikuta ndo mchezo wao wa kila siku. Ni mambo ya hatari haya.
 
LGBT rights in Tanzania - Wikipedia, the free encyclopedia ,
http://www.saflii.org/tz/legis/num_act/sospa1998366.pdf
soma replacement of section 154, wanaongelea ''unnatural acts''. nilikosea urefu wa kifungo, lakini adhabu ipo
Replacement
of section
154
16. Section 154 of the Penal Code is hereby repealed and replaced with the
following13
No. 4 S e x u a l O f f e n c e s P r o v i s i o ns 1998
154.-(1) Any person who-
(a) has carnal knowledge of any person against the order of nature; or
(b) has carnal knowledge of an animal; or
(c) permits a mate person to have carnal knowledge of him or her against
the order of nature,
"Attempt
to commit
unnatural
offences
commits an offence, and is liable to imprisonment for life and in any c a s e to
imprisonment for a term of not less than thirty years.
(2) where the offence, under subsection (1) ofthis section is committed
to a child under the age often years the offender shall be sentenced
to life imprisonment.

    • [h=3]carnal knowledge[/h][TABLE="class: vk_txt ts"]
      [TR]
      [TD]Web definitions

      [TABLE="class: ts"]
      [TR]
      [TD]sexual intercourse: the act of sexual procreation between a man and a woman; the man's penis is inserted into the woman's vagina...wordnetweb.princeton.edu/perl/webwn
      [/TD]
      [/TR]
      [/TABLE]

      [/TD]
      [/TR]
      [/TABLE]
    More info - Source - Wikipedia - Dictionary.com - Answers.com - The Free Dictionary
Mkuu bado mpaka hapo ktk hiyo Ammendment hakuna kosa km Mada inavyojieleza kwani hao wanawake wamekubaliana na hawajashurutishwa ndio maana hata huyu mwananchi wa pemba anashangaa labda umfafanulie makubaliano ya wawili ni tatizo?

avatar134434_1.gif
Mim sijaelewa kitu hapo...yani ni tatizo au sio tatizo....habari haina msingi ina elea elea tu
Mpemba HAKUNA TATIZO KM UTAKULA VYAKO
Tusiandikie Mate wiki hii Mfanyabiashara wa DVD stand kuu ya Moshi amekamatwa kwa kupiga video wakati akifanya ufirauni huo POLISI wamesema kuna kesi.
tusubirie ni ya

  • Kulawiti
  • kupiga picha
  • au mahakama itamuona hana kesi kwa mambo yake ya hadharani kuyahifadhi
Sheria ni Msumeno
 
Last edited by a moderator:
Replacement
of section
154
16. Section 154 of the Penal Code is hereby repealed and replaced with the
following13
No. 4 S e x u a l O f f e n c e s P r o v i s i o ns 1998
154.-(1) Any person who-
(a) has carnal knowledge of any person against the order of nature; or
(b) has carnal knowledge of an animal; or
(c) permits a mate person to have carnal knowledge of him or her against
the order of nature,
"Attempt
to commit
unnatural
offences
commits an offence, and is liable to imprisonment for life and in any c a s e to
imprisonment for a term of not less than thirty years.
(2) where the offence, under subsection (1) ofthis section is committed
to a child under the age often years the offender shall be sentenced
to life imprisonment.

    • carnal knowledge

      [TABLE="class: vk_txt ts"]
      [TR]
      [TD]Web definitions

      [TABLE="class: ts"]
      [TR]
      [TD]sexual intercourse: the act of sexual procreation between a man and a woman; the man's penis is inserted into the woman's vagina...wordnetweb.princeton.edu/perl/webwn[/TD]
      [/TR]
      [/TABLE]
      [/TD]
      [/TR]
      [/TABLE]
    More info - Source - Wikipedia - Dictionary.com - Answers.com - The Free Dictionary
Mkuu bado mpaka hapo ktk hiyo Ammendment hakuna kosa km Mada inavyojieleza kwani hao wanawake wamekubaliana na hawajashurutishwa ndio maana hata huyu mwananchi wa pemba anashangaa labda umfafanulie makubaliano ya wawili ni tatizo?

....
Sheria ni Msumeno
hapo green means having sex sehemu nyingine tofauti na vagina. the order of nature means pen1s into vagina, pen1s ikiwekwa kwingine hata kama hawajashurutishwa hiyo ni against order of nature. wanaweza kushtakiwa kutumia hiyo sheria.
 
Du ipo kazi!

Hivi sheria inasemaje mtu akifanya/fanywa kinyume cha maumbile?

Adhabu yake ni nini?

==>> DUNIANI hakuna adhabu.... ni uhuru wako kufanya au la...labda ubakwe...

==>> Mbinguni kwa Mungu utaenda Jehanam...
 
Astakafir,astakafir,astakafir kama sio mtume hichi kizazi kingeshaangamizwa sikunyingi maana tumekufu kupita waliotangulia ,watu hatumuogopi tena MUNGU tunaogopa sheria tulizozitunga wenyewe, ni athari ngapi zinazopatikana kwa kufanya tendohilo?? ndio jambo la kujadili sio ku enttertain uchafu kama huo kwanza hata uogevipi janaba lake halitokikamwe na never kumuona mtume
 
hapo green means having sex sehemu nyingine tofauti na vagina. the order of nature means pen1s into vagina, pen1s ikiwekwa kwingine hata kama hawajashurutishwa hiyo ni against order of nature. wanaweza kushtakiwa
kutumia hiyo sheria.
154.-(1) Any person who-
(a) has carnal knowledge of any person against the order of nature; or
Du Mkuu nilikuwa sijagundua huo usemi wa Kisheria hapo ni kweli, mwenza wake aki-prove beyond reasonable doubt amekwenda labda Mtuhumiwa akahonge kwa DR ile PF3
==>> DUNIANI hakuna adhabu.... ni uhuru wako kufanya au la...labda ubakwe...
==>> Mbinguni kwa Mungu utaenda Jehanam...
Ndugu yangu ushahidi ukipatikana adhabu ipo
sasa Blaine Avatar ina maana gani
avatar66278_39.gif
halafu turudi kwenye mada, ya hawa wanaotoa kwa starehe ni vp
 
Last edited by a moderator:
Kweli hivi vitendo vimeshamiri na vinaongezeka siku hadi siku sijajua mwisho wake utakuwa je kama Mungu hatakuja kutoa huruma yake
 
154.-(1) Any person who-
(a) has carnal knowledge of any person against the order of nature; or
A)Du Mkuu nilikuwa sijagundua huo usemi wa Kisheria hapo ni kweli, mwenza wake aki-prove beyond reasonable doubt amekwenda labda Mtuhumiwa akahonge kwa DR ile PF3

B)Ndugu yangu ushahidi ukipatikana adhabu ipo
C)sasa Blaine Avatar ina maana gani
avatar66278_39.gif

D)halafu turudi kwenye mada, ya hawa wanaotoa kwa starehe ni vp
  1. A - i think sheria itawabana wote, mume na mkewe. i wonder kama nikigundua kuna mdada katoa 0713 kwa mtu mwingine (not me) nikimpeleka mahakamani atafungwa?
  2. B - yes
  3. C - nothing
  4. D - sidhani kama inajalisha kama ni starehe au la. sheria inasema watoe voda tuu, kabaang NO.
 
  1. B - yes
  2. C - nothing
  3. D - sidhani kama inajalisha kama ni starehe au la
  4. E - No
Jibu ni E Hawezi kufungwa kwa sababu wewe Mpelelezi sio DR na huna ushahidi kwa kuKOZMEN tu
N.B. ipo Kesi ya namna hii huko Moshi yule muuza DVD eti POLISI na wapepelelezi wameshuhudia kupitia Video wakati wao wanakataa kwani ni starehe yao
Hii picha bado haina jibu
avatar66278_39.gif
 
Back
Top Bottom