Blaine
JF-Expert Member
- Jan 11, 2012
- 2,275
- 1,655
wapelelezi wamekataa ushahidi lol.Jibu ni E Hawezi kufungwa kwa sababu wewe Mpelelezi sio DR na huna ushahidi kwa kuKOZMEN tu
- B - yes
- C - nothing
- D - sidhani kama inajalisha kama ni starehe au la
- E - No
N.B. ipo Kesi ya namna hii huko Moshi yule muuza DVD eti POLISI na wapepelelezi wameshuhudia kupitia Video wakati wao wanakataa kwani ni starehe yao
Hii picha bado haina jibu
![]()
picha haina jibu for now