Wanawake wa vijijini ndo wazalishaji wakubwa huku wanaume wakisubiri kufanyiwa yote aisee, wanawake wa vijijini ni mashujaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu ona hyo kitu aisee hamnaga mwanamke mubaya, akipata matunzo mazuriMfano wayao, wandendeule na makabila mengine wanaune wanaoa wanawake wengi ili wapate watu wa kulima mashamba wenyewe wanaita “pawatila”
Wazuri sana labda kwa sababu hawapaki makeupNaongezea hapo... Wengi wao hawana chura, pia wana sura za baba zao wa kambo
Sent using Jamii Forums mobile app
mzima sana rafiki yangu, nikuonapo ukitoa michango maridhawa kabisa, roho yangu kwaatu
Yaaan nilishangaa huko kijijini...mwanamke anafanya shughuli zote za kuingiza kipato..mume analewa tuu na vipigo kwa wife asee[emoji15]Wanawake wa vijijini ndo wazalishaji wakubwa huku wanaume wakisubiri kufanyiwa yote aisee, wanawake wa vijijini ni mashujaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kutwa kupigwa na jua hata huo urembo unatoka wapi? Hata ukipaka cream hapo inadunda, pia wanafanya kazi nzito za kufanywa wanaume sasa hapo hata shep nzur inatokea wapi jmn! Maana lazma utakuta mtu kakomaa ovyo
Yani mwanamke lima Fanya kazi hela anachukua mume na kulewa ataacha kweli kuchakaaYaaan nilishangaa huko kijijini...mwanamke anafanya shughuli zote za kuingiza kipato..mume analewa tuu na vipigo kwa wife asee[emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh nafurahi kuona appreciation yako mkuumzima sana rafiki yangu, nikuonapo ukitoa michango maridhawa kabisa, roho yangu kwaatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vijijini huwa wana vitambi flani hivi, yaani chini ya kifua kuna kakitambi kanajitokezaKijijini wapi huko umeona wanawake wemye vitambi?
Au unaongelea wa kisarawe na bagamoyo?
Watakuwa wanawake wa kisukuma hao.Mkuu vijijini huwa wana vitambi flani hivi, yaani chini ya kifua kuna kakitambi kanajitokeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Chura huwa hawana mkuu, yaani unakuta amevimba kitumbo (maeneo flani chini ya kifua) na sura zao ndio hivyo tenaNaongezea hapo... Wengi wao hawana chura, pia wana sura za baba zao wa kambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sikujua kama kusema mtu flani sio mzuri ni tusi/kashfa kiasi cha mimi kuoaswa kumtaka ArDhiKabla ya yote naomba uwatake radhi wasichana wanaoishi vijijini,
Pia naomba naomba utambue wasichana walio wengi unaowaona mjini wanatoka vijijini..
Naomba pia ujue kwamba wasichana walioko vijijini na walioko mjini wenye vitambi sana wako mjini..
Jana nimekaa Segerea kwa fundi wa kushona nguo, nilikuwa nimefata huduma kwake, nikiwa pale nilingundua wateja wake wengi ni wasichana.. kwa masikitiko makubwa niliwaona wengi wanavitambi kuliko hata wa huko vijijini..
Finally, wasichana wa mjini wanaonekana kuwa na muonekano nadhifu kuliko wa vijijini kutokana na ukweli kwamba wao wanaadha ndogo za kijamii kuliko wa vijijini.
Ukikaa sana nyege zikakushika vizuri kama miezi 2 na kuendelea utawaona wazuri na utaanza kuwatongoza,Wakuu heshima kwenu
Katika mizunguko yangu nimekuwa nikienda vijijini mara kwa mara lakini karibu Wanawake wote (pengine wote) wa vijijini si wazuri wa sura wala maumbo (mfano vitambi vingi sana kwa Wanawake wa vijijini)
Kwahiyo wakuu naomba kujuzwa kama kuna sababu yoyote ya kisayansi au Kijamii kuhusiana na hali hii
Natanguliza shukrani kwa majibu yenu mazuri.
Sent using Jamii Forums mobile app