Kwanini Wanawake Wengi wa Vijijini Sio Wazuri (Not Beautiful)?

Kwanini Wanawake Wengi wa Vijijini Sio Wazuri (Not Beautiful)?

Wanawake wa vijijini ndo wazalishaji wakubwa huku wanaume wakisubiri kufanyiwa yote aisee, wanawake wa vijijini ni mashujaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mfano wayao, wandendeule na makabila mengine wanaune wanaoa wanawake wengi ili wapate watu wa kulima mashamba wenyewe wanaita “pawatila”
 
Mkuu kwani kulima kunamfanya mtu kuwa havutii?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kutwa kupigwa na jua hata huo urembo unatoka wapi? Hata ukipaka cream hapo inadunda, pia wanafanya kazi nzito za kufanywa wanaume sasa hapo hata shep nzur inatokea wapi jmn! Maana lazma utakuta mtu kakomaa ovyo
 
Kabla ya yote naomba uwatake radhi wasichana wanaoishi vijijini,

Pia naomba naomba utambue wasichana walio wengi unaowaona mjini wanatoka vijijini..
Naomba pia ujue kwamba wasichana walioko vijijini na walioko mjini wenye vitambi sana wako mjini..
Jana nimekaa Segerea kwa fundi wa kushona nguo, nilikuwa nimefata huduma kwake, nikiwa pale nilingundua wateja wake wengi ni wasichana.. kwa masikitiko makubwa niliwaona wengi wanavitambi kuliko hata wa huko vijijini..

Finally, wasichana wa mjini wanaonekana kuwa na muonekano nadhifu kuliko wa vijijini kutokana na ukweli kwamba wao wanaadha ndogo za kijamii kuliko wa vijijini.
Mkuu sikujua kama kusema mtu flani sio mzuri ni tusi/kashfa kiasi cha mimi kuoaswa kumtaka ArDhi

Pia, pengine hao wazuri wa mjini waliotoka vijijini ndio wanasababisha vijijini kuwe na Wanawake wasio wazuri na mjini kuwa na wazuri (kutokana na pulling power ya mjini)

Kwenye adha wanazopata wa vijijini inaweza kuwa kweli pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu heshima kwenu

Katika mizunguko yangu nimekuwa nikienda vijijini mara kwa mara lakini karibu Wanawake wote (pengine wote) wa vijijini si wazuri wa sura wala maumbo (mfano vitambi vingi sana kwa Wanawake wa vijijini)

Kwahiyo wakuu naomba kujuzwa kama kuna sababu yoyote ya kisayansi au Kijamii kuhusiana na hali hii

Natanguliza shukrani kwa majibu yenu mazuri.



Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikaa sana nyege zikakushika vizuri kama miezi 2 na kuendelea utawaona wazuri na utaanza kuwatongoza,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom