Kwanini wanawake wengi wakipigana hupenda kuvuana nguo

1. Sipendi tabia ya ugomvi / kupigana hasa hadharani.

2. Wanawake hawajui kupigana na muda mwingi wanakuwa wanavutana nywele au kusukumana au mmoja kumkalia / kumlalia mwenzake. Hii hupelekea kuvutana nguo ambazo kama ni gauni au sketi au khanga basi rahisi kutoka/ kuvuka hatimaye mtu kubaki mtupu/ wazi. Badala ya kurusha ngumi au teke kama wanaume wanavopigana wanawake wao mikono yao na miguu haina asili hiyo au balance hivo huishia kuvutana na kufinyana au kung'atana.

3. Asili ya mavazi ya kike ni gauni sketi na chupi ni laini, rahisi kukatika kwenye purukushani kumbuka hata hereni mkufu pete ndala hukatika pia kama sehemu ya ugomvi sio nguo tuu. Na wenye mawigi au nywele za kushonea hapa wanaipata maana wanawake wanapigana kwa kuviziana amshike wapi ili amuweze mpunzani wake.

4. Wako wanawake wagomvi ambao hujiandaa na ugomvi, mfano huyo mwenye kaptura ya jeans hapo hadi uje kuivua labda uwe ushampiga na amezirai. Viatu alivobvaa pia (raba) si rahisi kutoka.

5. Wengi hutumia hiyo kama silaha sababu hawajui kupigana, kawaida binadamu tumeumbwa na aibu hivo akifanikiwa kumtoa nguo ya juu au ya chini basi yule aliyevuliwa nguo atakosa nguvu na kuhangaika namna ya kujisetiri hatimaye atadundwa.

Halafu gomvi za wanawake huwa watazamaji hawaziamulii sababu wanataka kuona nyuchi au chupi na sindiria, ila gomvi za kiume zinaamuliwaga haraka.

Hawa utasema wamepagawa na mapepo ya kupigana.... halafu ukiuliza chanzo cha ugomvi ndo utachoka..... kanichukulia bwaba wangu, kwenye pati alinisonya, amenitangazia mie malaya na blaah blaah blaah kibao.

Hapo ni kuvutana nywele, kuangushana chini na kuburuzana.

Nachukua sana kupigana, sana sana...... bora niitwe muoga kuliko mjuaji au mbabe wa kuoneshana mabavu. Sababu mwili wangu hauna spea, jicho langu likitoka au nikipata kovu au jeraha ambalo halitatoka milele.... ntajichukia. Nipate hayo kwa ajali ingine ila sio kupigana.

Kasinde Mtata kwenye Mahaba tuu.

ubarikiwe mpaka ujiogope.
umenena maneno yenye akili na maarifa.
 
Duuuh[emoji15] umeielezea vizuri[emoji38][emoji38]
 
Wee nae... muache mama wa watu looh, msitu ni hazina ya Taifa, pia ina kazi nyingi.... kuranda mbao, makaratazi, kuita mvua, utunzaji wa mazingira na kuwa asilia. Hata mtu asiponyoa miaka 3 haziwezi kufika magotini... hehehehehehehe hatari kabisa.

Hamkupiga picha au video? mliwaacha na watoto nao washuhudie mkanda mzima bila king'amuzi?

We wajua kijijini?? Niliogopa nisijeambiwa nimechukua kivuli chake miye. Kwetu wanaamini sana uchawi haswa kukuchukulia kivuli wakufanye uwehuke. Sasa tuliamini kishachukuliwa kivuli kawehuliwa na dayaspora wake
 
Nadhani ndo maana mume katoroka. Huenda huko dayaspora misitu haifugwi na viwanja vipo wazi bila kutafuta mlango wa goli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akinamama wakishaolewa basi uwa wanachukulia poa, hata mausafi kama kufyeka msitu hakumbuki tena
 
Huku kijijini ndo usiombe. Yaani hata ametoka matembezi hakumbuki kujisafi kidogo ili Mr naye amuangalie. Kuoga ni siku moja moja na kubadili pichu ni baada ya tendo
 
Hiyo nadhani iko kisaikolojia zaidi kwamba akimpiga halafu akamvua nguo anakuwa amemkata mood ya kuendelea kupigana kwamba hawezi tena kuendelea na pambano ila kujistiri, tahadhari hata mwanaume uko kwwnye hatari ya kuvuliwa nguo na mwanamke kwenye ugomvi so watch it
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akinamama wakishaolewa basi uwa wanachukulia poa, hata mausafi kama kufyeka msitu hakumbuki tena
kitu cha amazoni au kongo forest. Ila wa mjini wanajitahidi
 
Huwa wanakaguana nani mwenye pichu mpya na kweli ni size au kubwaa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo nadhani iko kisaikolojia zaidi kwamba akimpiga halafu akamvua nguo anakuwa amemkata mood ya kuendelea kupigana kwamba hawezi tena kuendelea na pambano ila kujistiri, tahadhari hata mwanaume uko kwwnye hatari ya kuvuliwa nguo na mwanamke kwenye ugomvi so watch it
mwanaume hana haja ya kuvuliwa nguo mkuu, anadandia kende tu kwisha habari
 
Ili muone ipi mbu. nye imekaa vema
1539278438767.png
 
ngumi za wanawake tamu sanaa.. yaani unaona wazi kabisa.. anvyokimanua kimbuftaa chake...mpaka noma yaani..
 
Back
Top Bottom