Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
That beautiful body of yours, ukichanganya na unavojistiri ni kama ua la asili wakati wa saa tano asubuhi kuelekea saa sita mchana kwa jinsi ung'aavyoNimekuelewa sana Sesten. Ila si wajua kimwili changu 😜😜😜 tena hiki halafu kuanza kutaka ugomvi na watu hapana kwa kweli.
Yaani linang'aa kwa kuchanua vizuri baada ya kua limepata baridi ya usiku kucha na alfajiri yake, na kisha kupata kijua cha asubuhi kabda ya jua kali......sasa kwa umbo na uzuri wako huo wa nachurali ukiingia kwenye ugomvi hadi kushikana maungo ukapigana, kwa hasadi tu mgomvi wako atataka ama akuvue au akuchanie kabisa stara yako ili watu waone unachokihifadhi
Baki na heshima yako Hajar