Kwanini wanawake wengi wakipigana hupenda kuvuana nguo

Nimekuelewa sana Sesten. Ila si wajua kimwili changu 😜😜😜 tena hiki halafu kuanza kutaka ugomvi na watu hapana kwa kweli.
That beautiful body of yours, ukichanganya na unavojistiri ni kama ua la asili wakati wa saa tano asubuhi kuelekea saa sita mchana kwa jinsi ung'aavyo

Yaani linang'aa kwa kuchanua vizuri baada ya kua limepata baridi ya usiku kucha na alfajiri yake, na kisha kupata kijua cha asubuhi kabda ya jua kali......sasa kwa umbo na uzuri wako huo wa nachurali ukiingia kwenye ugomvi hadi kushikana maungo ukapigana, kwa hasadi tu mgomvi wako atataka ama akuvue au akuchanie kabisa stara yako ili watu waone unachokihifadhi

Baki na heshima yako Hajar
 
Duuh! Ukisikia Hajar kichwa chake kimepasuka basi ujue ni haya maneno yako Wallahi vile.

Na kweli usemayo Sesten na siku zote ugomvi hausaidii na haujawahi kuwa na faida kabisaa.
 
Duuh! Ukisikia Hajar kichwa chake kimepasuka basi ujue ni haya maneno yako Wallahi vile.

Na kweli usemayo Sesten na siku zote ugomvi hausaidii na haujawahi kuwa na faida kabisaa.
Umbo lako, sura yako, busara zako, akili zako, tabia zako vyoote vimefanana.....ni First Class

Silaha kuubwa sana ya wanawake wa aina yako ni kujiweka mbali na magomvi, utakua juu daima

Ndio ushauri wangu kwako kwa leo Hajar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…