hapa inabidi tuongelee pande zote mbili.
nyie wanaume:mnasahau majukumu yenu,mashindwa kuwatreat wake zenu kama inavyotakiwa ndio maana wanagongwa hovyo.
wanawake:tuache tamaa,na vile vile tuache kulinganisha....mara ooooh mume wangu hana six pack,mara oooohh mume wangu si handsome,mara oooohh mume wangu hana hela.n.k kwanin tusiridhike na tulicho nacho?
pia marafiki ni chanzo kikubwa,ukiwa na marafiki wazinzi kwa vyovyote nawe utakuwa au utaanza uzinzi.....na wengine ni wazinzi by default,wamezaliwa na hiyo tabia.
so its better nyie wanaume badala ya kulalamika mngeanza kujirekebisha kwanza then ndo umsaidie na mkeo kuchange.