Kwanini wanawake wengi wana mihemko ya Uzinzi miaka hii hata aliyeko kwenye ndoa anazini?

Kwanini wanawake wengi wana mihemko ya Uzinzi miaka hii hata aliyeko kwenye ndoa anazini?

Kisasi ndiyo chanzo.Wanaamua kushndana na wanaume.badala ya kupiga goti kwa mungu.
Hii nayo nisababu kubwa mno,maisha yaleo haya ya 50/50 yameibua maisha ya ushindani baina ya ke&me....imekua nivurugu mwanzo mwisho haijulikani Nani amsikilize Nani,Nani kiongozi Nani wakufuata maelekezo kila mmoja anahitaji utawala nauhuru binafsi,kuna ukweli sanahapo.
 
Tena kavurugwa haswa yani.
Hakuna mwanaume malaya sema , mwanaume kawekewa mpka huduma ya makahaba akitaka kuonja njee ila saiv kma mwanamke na kahba mpka makahaba halisi wanakosa kazi.
 
Mkimaliza tafiti zote mtanijulisha......hivi huo uzinzi wanafanya peke yao,au huwa wanafanyana na midoli?😕
Mwaume alipaswa kufanya uzinzi na kahaba ukichoka papuchi ya mke wake na sio kila mwanamke coz huduma ya ukahaba ipo Kwa sababu maalumu kama hyo.
 
Back
Top Bottom