Kwanini wanawake wengi wana mihemko ya Uzinzi miaka hii hata aliyeko kwenye ndoa anazini?

Wanawapaka paka shombo wake zao wakiambiwa wanaleta fedhuli,mabint wakipata wanaostahili hasa kuitwa wanaume kwa kujua majukumu yao na kuyatimiza wachovu wanakuja kulia lia hapa na kuwapa watu sifa wasizozistahili
 

thats true!tuache finger pointing,tutafute solution ,bila kutaja jinsi/jinsia.!
 
sln ni wote kukubali kubadilika na kulidhika na huyo uliye nae..kuwa bize na kazi na kufikilia jinsi gan ya kujikomboa kimaisha kuliko kuwaza mapenz
 

kwa sababu wanaume wamezidi nyege mshindo wanazini hata na wake za watu!
 
unadhani mtu atahisi tu nakuamua kutoka nje? huwa wanakua na vithibitisho..na pengine mume hashauriki au habadili tabia...na aibu ni kwa wote

Niongezee tu kidogo lininge hawa waume wanasahau kuwa mwanamke anaitaji kupendwa na kuendelewa kusifiwa na kutambiwa kuwa yeye ndio yeye kama ilivokua mwanzo wa mahusioano. tatizo wakishakuweka ndani basi.. hakuna i love you any more, hakuna caring, una shida ukisema umshirikiseh mwenzio ndio majanga bora unyamaze.... yaani mwanaume anaacha kabisa kukutahamini kama vile mwanzo... wakati ww bado unaitaji kuthaminiwa na kupendwa na kuambiwa umependeza, kubembelezwa... you know he should be there for you all the time...
 
Siku hizi naona tafit zimezidi,mtu analala na kuota pakikucha tu anakuja na utafiti wake. Nami kesho ntakuja na utafiti wangu apa
 
Mkimaliza tafiti zote mtanijulisha......hivi huo uzinzi wanafanya peke yao,au huwa wanafanyana na midoli?😕
 
hapa inabidi tuongelee pande zote mbili.
nyie wanaume:mnasahau majukumu yenu,mashindwa kuwatreat wake zenu kama inavyotakiwa ndio maana wanagongwa hovyo.
wanawake:tuache tamaa,na vile vile tuache kulinganisha....mara ooooh mume wangu hana six pack,mara oooohh mume wangu si handsome,mara oooohh mume wangu hana hela.n.k kwanin tusiridhike na tulicho nacho?

pia marafiki ni chanzo kikubwa,ukiwa na marafiki wazinzi kwa vyovyote nawe utakuwa au utaanza uzinzi.....na wengine ni wazinzi by default,wamezaliwa na hiyo tabia.
so its better nyie wanaume badala ya kulalamika mngeanza kujirekebisha kwanza then ndo umsaidie na mkeo kuchange.
 

Hakika hapo ndio pakubwa na ndio chanzo cha haya yote..Kama hakuna hiyo kitu siwezi kukuta njiani nikakuomba papuchi yako kwa kukupa lift tu ukakubali kama hakuna sehemu ulishawahi simuliwa hayo niliyoyawekea rangi nyekundu.
Kama tukiweza kusimama sisi wenyewe bili kulinganisha vitu kwenye mahusiano hakika hakutakuwa na leo uko na fulani mara leo uko na nani na hakuna ugomvi utakao jitokeza kwenye mahusiano..uGOMVI MWINGI UKIUANGALIA CHANZO CHAKE NI HAYO YA UINGALIFU WA WA KWANGU NAMPA MINI KABANG NDIO MAANA KANINUNULIA VITZ,IPHONE,KANIPANGISHIA NYUMBA ETC.
Hivyo nguzo ya mabadiliko ni ulinganifu kwa wanawake wenyewe....
Asante kwa msaada wa uchambuzi
 
Watu wakweli kama wewe ndo huwa tunatafuta naomba namba yako ya simu basi dada mpendwa.
 


hapo kwenye nyekundu sidhani kama kutembea na wanaume wengine ni kuwahurumia watoto..........

kama kweli kuna huruma kwa watoto ,wangezifungia hizo papuchi kabisa mpaka kwa hao waume zao wa ndoa ili angalau wao wabaki kuwatunza watoto.
 
Wanawapaka paka shombo wake zao wakiambiwa wanaleta fedhuli,mabint wakipata wanaostahili hasa kuitwa wanaume kwa kujua majukumu yao na kuyatimiza wachovu wanakuja kulia lia hapa na kuwapa watu sifa wasizozistahili

kama kawa naona umepimia kwa mbali............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…