Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Asanteni hatimaye matolu tumefikiwaWana muonekano mzuri. Hakuna sababu nyingine
Mmh sawa mkuu, muhimu upendocha muhimu isimame vizuri ikuingie na kukukuna kila kona
Wanajihisi wako na ulinzi wa kutosha kama vile swala anavyomtegemea urefu wa twiga kuona mbali twigaWadau hamjamboni nyote?
Mada ipo mezani karibuni tujadili Kwa hekima na busara
Lugha zisizo na staha hazikubaliki
NB: moderator Tafadhali usiunganishe Uzi huu kwingineko
Hayo mambo ya urefu na ufupi ni mambo ya teenagers. Ukiona mwanamke mtu mzima anayehangaika na mambo ya urefu na ufupi jua ana matatizo kidogo.Mmh sawa mkuu, muhimu upendo
Wafupi kama mtungi wa gesiKwabi wafupi wana muonekano mbaya ?! Au muonekano mzuri kwako una maana gani ?!
Kesho itapendezaπTuongozane lini bebe
Hauna ndugu mfupi wewe au marafiki, kwahiyo wako kama mitungi ya Gesi, na wewe ni mrefu kama minazi au πWafupi kama mtungi wa gesi
mfupi mweusi mnene nipo kama funza umbo languSifa zote hizo awe nazo huyo mwanaume mmoja, haya na wewe una sifa gani tuambie kidogo ili tujue sisi.
unalijua sanamu la michellin yan hilo ni kopi og ndio mm mwenyewe sasa niwe mfupi mume mfupi kweli watoto kina sele wa nn?Utakua kianduje wewe sio bure halafu kibonge kama pipa.
Una angalia mapenzi ya kweli au urefu ?! Mademu wa kibongo mambo mengi ndiyo maana makofi hayaishi πππ mna ishia kusema wanaume wote ni mbwa tuu ....ππππ Nyie ni watu wa ajabu sana, tamthilia zina wadanganya mnooAisee ni ile tu ukiwa na mkaka mrefu unajiona kama mtoto kwake ila akiwa mfupi unaonekana kama mama mdogo π€
Plus ka kitambiUtakua kianduje wewe sio bure halafu kibonge kama pipa.
Ni mtizamo wangu tu , tamthiliya zipi zinazoonesha wakaka warefu hadi zitudanganye?.Una angalia mapenzi ya kweli au urefu ?! Mademu wa kibongo mambo mengi ndiyo maana makofi hayaishi πππ mna ishia kusema wanaume wote ni mbwa tuu ....ππππ Nyie ni watu wa ajabu sana, tamthilia zina wadanganya mnoo
[emoji16][emoji16]Nilivyoona tu tujadili kwa hekima na busara kwa haraka haraka ikanijia kuwa mleta uzi we ni kafupi eti. [emoji3]
Hivi mimi na wewe si tuna date?Unamaanisha unacome eehππ
Sawa mremboKesho itapendezaπ
ππ kumbe nilisahau kabisaaHivi mimi na wewe si tuna date?