Kwanini Wanawake wengi wanaona ufahari kuongozana na wanaume warefu

Kwanini Wanawake wengi wanaona ufahari kuongozana na wanaume warefu

Aisee ni ile tu ukiwa na mkaka mrefu unajiona kama mtoto kwake ila akiwa mfupi unaonekana kama mama mdogo 🤔
Una angalia mapenzi ya kweli au urefu ?! Mademu wa kibongo mambo mengi ndiyo maana makofi hayaishi 😂😂😂 mna ishia kusema wanaume wote ni mbwa tuu ....😂😂😂😂 Nyie ni watu wa ajabu sana, tamthilia zina wadanganya mnoo
 
Ni kutokujitambua tu. Ni sawa na mtu mpewe mkopo benki, wewe ununue IST na bajaji mbili na kuwekeza zikuletee hesabu huku unatumia IST yako na salio linalobakia unaweka Bank,halafu mwenzako anachukua pesa anakwenda kununua vogue inamkamua mafuta na kanunua bei na hana investments nyinginezo.

Its about uelewa wa jambo.
 
Una angalia mapenzi ya kweli au urefu ?! Mademu wa kibongo mambo mengi ndiyo maana makofi hayaishi 😂😂😂 mna ishia kusema wanaume wote ni mbwa tuu ....😂😂😂😂 Nyie ni watu wa ajabu sana, tamthilia zina wadanganya mnoo
Ni mtizamo wangu tu , tamthiliya zipi zinazoonesha wakaka warefu hadi zitudanganye?.

Wewe hauna kigezo unachopenda kwa mdada mfano rangi, chura, sura? Tusidanganyane bana.
 
Back
Top Bottom