jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Sep 4, 2024 #101 Uzalendo wa Kitanzania said: Wadau hamjamboni nyote? Mada ipo mezani karibuni tujadili Kwa hekima na busara Lugha zisizo na staha hazikubaliki Click to expand... Pole sana mbegu fupi tafuta hela uoe mwanamke mrefu angalau usaidie kizazi chako kuongeza kimo.
Uzalendo wa Kitanzania said: Wadau hamjamboni nyote? Mada ipo mezani karibuni tujadili Kwa hekima na busara Lugha zisizo na staha hazikubaliki Click to expand... Pole sana mbegu fupi tafuta hela uoe mwanamke mrefu angalau usaidie kizazi chako kuongeza kimo.
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Sep 4, 2024 #102 Ila wanaume warefu huwa tunaringa
mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,005 Reaction score 20,805 Sep 4, 2024 #103 Inasemekana eti ukiwa mrefu basi na kiungo chako cha kiunoni pia kinakuwa kirefu. Na ukiwa mfupi basi na maumbile pia mafupi. Huo ndy ukwl 💯.
Inasemekana eti ukiwa mrefu basi na kiungo chako cha kiunoni pia kinakuwa kirefu. Na ukiwa mfupi basi na maumbile pia mafupi. Huo ndy ukwl 💯.