jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Pole sana mbegu fupi tafuta hela uoe mwanamke mrefu angalau usaidie kizazi chako kuongeza kimo.Wadau hamjamboni nyote?
Mada ipo mezani karibuni tujadili Kwa hekima na busara
Lugha zisizo na staha hazikubaliki