Kwanini Wanawake wengi wanaona ufahari kuongozana na wanaume warefu

Kwanini Wanawake wengi wanaona ufahari kuongozana na wanaume warefu

Wadau hamjamboni nyote?

Mada ipo mezani karibuni tujadili Kwa hekima na busara

Lugha zisizo na staha hazikubaliki

NB: moderator Tafadhali usiunganishe Uzi huu kwingineko
Sana sana wadada wa kwenye Migahawa wapo tayari ukale bure yaan awe anakuona tu unakula namaanisha unakula, hii mitihani inanikuta sana mpaka najutia kua mrefu
 
Back
Top Bottom