Kwanini wanawake wenye mafanikio wanaogopwa?

Hata mimi mnaniogopa pia humu 🤣🤣🤣😜

Karibuni kijijini maeneo mengi ya kuishi nasi tuwe majirani

🤣🤣🤣

Napenda sana kuishi kijijini tena kijijini kule konki 👌👌
Ambako mko mbalimbali kwenda kwa jirani ni kilomita kadhaa.
Unakula plant based foods.
Always you are connected into nature.
I like that.
Mwenyezi Mungu anijalie maono yangu yatimie kwa wepesi.
 
jamaa ni mnyonge tu, lazima utakuta hadi me wenzake wanamchukulia poa
 
Mwanamke hajaumbwa kumiliki uchumi, mwanamke akishamiliki uchumi anakua shetani


Kasome Mithali 31: kuanzia mstari wa 10 hadi mwisho kwenye Biblia utaona.
Kuhusu mwanamke kuwa shetani anapofanikiwa kuwa na Hela nyingi sana hiyo inategemea na moyo, tabia, malezi , makuzi , Imani n.k ya huyo mwanamke.

Ikumbukwe pia mwanamke anaweza kuwa maskini wa kutupa na akawa shetani vile vile 👌👌👌
Mpaka utajiuliza Huyu hii jeuri na ukorofi msingi wake ni nini wakati hana mbele wala nyuma ??!
wapo wengi sana wa hivyo pia.
 
Mwanamke yupo hapa mkuu.

Mwazo 3:16
Kisha akamwambia mwanamke, “Nitakuzidishia uchungu wa kuzaa, kwa uchungu utazaa watoto. Hata hivyo utakuwa na hamu na mumeo, naye atakutawala.”
 
Nani kwanza anawaogopa? Kuna data au perception tu?
 
Sio wanawaogopa,bali hawahitaji aina hiyo ya mwanamke asietawalika......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…