Kwanini wanawake wenye mafanikio wanaogopwa?

Hata mimi mnaniogopa pia humu 🤣🤣🤣😜

Karibuni kijijini maeneo mengi ya kuishi nasi tuwe majirani

🤣🤣🤣

Napenda sana kuishi kijijini tena kijijini kule konki 👌👌
Ambako mko mbalimbali kwenda kwa jirani ni kilomita kadhaa.
Unakula plant based foods.
Always you are connected into nature.
I like that.
Mwenyezi Mungu anijalie maono yangu yatimie kwa wepesi.
 
Kuna wale wenye ndoto na malengo yao makubwa sana alafu kichwani wapo very smart. Hawa watu kwenye mahusiano wapo wapo tu na hawajali lolote litakalotokea kikubwa kwao ni kuona malengo na ndoto zao zinatimia.

Kwahiyo chochote kitakachojitokeza kuwa sababu ya kuhatarisha mafanikio ya malengo yake anakiepuka mapema sana. Na wana misimamo mikali sana. Mwanaume hapa ukifyata ukasema umsikilize umeisha, wana kau-feminist fulani hivi kalichojificha kwenye kupambania ndoto zake kwanza.

Imagine una ke age ni 32+ alafu bado anakuambia hawezi kuzaa mpaka atimize malengo yake, hii ni scenario ya mwanangu mmoja ivi kwa picha naloliona hadharani ni wazi mwamba kashawekwa kiganjani na hafurukuti. Unafokewaje na ke tena hadharani alafu unanywea?
Ke mwenye heshima na upendo hawezi kufanya hivyo kwa mwanaume wake, never.
jamaa ni mnyonge tu, lazima utakuta hadi me wenzake wanamchukulia poa
 
Mwanamke hajaumbwa kumiliki uchumi, mwanamke akishamiliki uchumi anakua shetani

Kasome Mithali 31: kuanzia mstari wa 10 hadi mwisho kwenye Biblia utaona.
Kuhusu mwanamke kuwa shetani anapofanikiwa kuwa na Hela nyingi sana hiyo inategemea na moyo, tabia, malezi , makuzi , Imani n.k ya huyo mwanamke.

Ikumbukwe pia mwanamke anaweza kuwa maskini wa kutupa na akawa shetani vile vile 👌👌👌
Mpaka utajiuliza Huyu hii jeuri na ukorofi msingi wake ni nini wakati hana mbele wala nyuma ??!
wapo wengi sana wa hivyo pia.
 
Mwanamke yupo hapa mkuu.

Mwazo 3:16
Kisha akamwambia mwanamke, “Nitakuzidishia uchungu wa kuzaa, kwa uchungu utazaa watoto. Hata hivyo utakuwa na hamu na mumeo, naye atakutawala.”
 
Hawa ni wanawake wenye kiwango kikubwa cha elimu, fedha, umaarufu au hata madaraka katika jamii. Hoja ya wanaume wenye mawazo haya ni ugumu wa kuwaongoza wanawake wanaowazidi.

“Mwanawake akipata kitu anakuwa jeuri sana. Hawezi kukusikiliza tena na atataka awe huru kufanya mambo yake bila kuingiliwa.” pia humfanya mwanamke asiwe na utayari wa kuwa chini ya utawala wa mwanaume. “Huwezi kuishi na mwanamke anayejiona yuko juu yako na ukabaki salama. Hatokuwa tayari kukupa nafasi ya kuwa na sauti kwenye nyumba.”

Hitaji kubwa la wanaume wengi ni mamlaka. Wanaume wanapoingia kwenye uhusiano na mwanamke wanakuwa na shauku ya kuwa na sauti inayosikika bayana kukidhi dhana ya kichwa cha familia. Ili sauti hii iweze kusikika bara bara uwezo wa kifedha, kielimu, kimadaraka na hata umaarufu unakuwa na nafasi yake.

Kwa maana hiyo inapotokea mwanamke ameshindwa kuwa chini ya mamlaka yake, mwanaume huanza kujisikia hayuko salama.​

Chris Mzumbwe

Nani kwanza anawaogopa? Kuna data au perception tu?
 
Sio wanawaogopa,bali hawahitaji aina hiyo ya mwanamke asietawalika......
 
Back
Top Bottom