Kwanini wanawake wenye mafanikio wanaogopwa?

Hawa ni wanawake wenye kiwango kikubwa cha elimu, fedha, umaarufu au hata madaraka katika jamii. Hoja ya wanaume wenye mawazo haya ni ugumu wa kuwaongoza wanawake wanaowazidi.

“Mwanawake akipata kitu anakuwa jeuri sana. Hawezi kukusikiliza tena na atataka awe huru kufanya mambo yake bila kuingiliwa.” pia humfanya mwanamke asiwe na utayari wa kuwa chini ya utawala wa mwanaume. “Huwezi kuishi na mwanamke anayejiona yuko juu yako na ukabaki salama. Hatokuwa tayari kukupa nafasi ya kuwa na sauti kwenye nyumba.”

Hitaji kubwa la wanaume wengi ni mamlaka. Wanaume wanapoingia kwenye uhusiano na mwanamke wanakuwa na shauku ya kuwa na sauti inayosikika bayana kukidhi dhana ya kichwa cha familia. Ili sauti hii iweze kusikika bara bara uwezo wa kifedha, kielimu, kimadaraka na hata umaarufu unakuwa na nafasi yake.

Kwa maana hiyo inapotokea mwanamke ameshindwa kuwa chini ya mamlaka yake, mwanaume huanza kujisikia hayuko salama.​

Chris Mzumbwe

1733156506949.png
 
Shida wana Dharau
 
H

Hakuna mwanaume anayemwogopa mwanamke dunia hii. Wanaume huwa tunajiongeza tu
 
Mi siwaogopi mlete yoyote hapa nampiga mistari..😎
Ni wewe huyu huyu uliyechemks kwa Avelina wa chumvini au ni mwingine?

Bariadi moja huwa mnapenda kujimwambafu sana ila wengi wenu ni wakuja tu.
 
Sijasoma uzi wako
Laini wanaume wenye pesa nyingi ni rahisi kujimix na kila mtu
Ila mwanamke akipata pesa anakua anaweka katinyed flani hivi

Kutana na vijana wa kikinga
Ana helaaaa anaongelea 100M kama shingi aftatu
Ila ukikaa nae dakika mbili nyingi mshapiga stori kama zote

Kutana na kina dada sasa
 
Kuna wanaowapgopa kwa sbb ya imani potofu kuwa mwanamke mwenye mali si mtiifu.

Ila kuna ambao hawawaogopi ila hawawataki tu.Kuna wanaume mwanamke akishamzidi tu tayari huyo hana vigezo vya kuwa mkewe kwa sbb mwanaume ana ego.Mwanaume anayejiamin mwenye kujivunia uanaume wake awe tajiri au masikini anaona fahari kuwa provider wa mke na wanawe.

Hakuna mwanaume anayejielewa ataishi kwa furaha kwa pesa ya mkewe.Na mpaka mwaume wa hivyo aoe mke alomzidi kipato/elimu ujue mwanamke katumia nguvu kubwa kumuaminisha kuwa pamoja na hela zake atamtii na kumuheshimu.
Umeongea vyema.
 
Back
Top Bottom