hehehehehehe hukuwapiga hata picha ututumie wazee wa bar kutukumbusha majukumu yetu mengine.. Bila shaka huyo baba kapata darasa humu humu tena kwenye ile mada yetu ile..Haha afu huwezi amini nilikukumbuka ghafla. Nimepita sehemu nikakuta mbaba anamfundisha binti yake baiskeli, kanachekaaaa hako. Aisee nimesmile hadi basi, nikasema angekuwa FisadiKuu muda huu anawahi bar kwanza kusalimia washkaji, akirudi tena ni beeer
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]khee ndiyo utangaze ?
[emoji2] [emoji2] i'm not surehehehehehehe.. kwahiyo ni, hence proved au???
Hivyo kwa mtazamo wako muda wa kufurahi unakaribia.Kwa namna na mitazamo tofauti tofauti tunaweza kuzigawanya katika makundi kadhaa kwa kuzingatia sifa husika
"Kila penye uzito na wepesi upo"[emoji2] [emoji2] i'm not sure
Hahahaa. Jamani Fisadi."Kila penye uzito na wepesi upo"
Sasa unakana Signature yako mwenyewe.. Weka wepesi binti heheheHahahaa. Jamani Fisadi.
Ila kwa hili wacha tu uzito uwepo. [emoji2] [emoji2]
Naam, naisogelea Font ferd(In mkulu's voice)Hivyo kwa mtazamo wako muda wa kufurahi unakaribia.
Mbona hivyo lakini Fisadikuu.Sasa unakana Signature yako mwenyewe.. Weka wepesi binti hehehe
[emoji122] [emoji122]Naam, naisogelea Font ferd(In mkulu's voice)
Sawa we endelea kuweka uzito..Mbona hivyo lakini Fisadikuu.
Kwahyo wanaosema mapenzi yako tanga ni waongo?? Sina uhakika kama hiyo list yako inapatikana sana hukooo mapenzi yalikoanziaKama jina lako halijatajwa hapo usikasirike sana ila jibiidishe tu katika kuwa na mbinu za Kitandani ila all in all hayo majina tajwa saba ( 7 ) hapo juu ndiyo wanajua kufanya Mapenzi na ni Watundu mno kunako 6 X 6.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Nikishafuturu nitarudi hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa we endelea kuweka uzito..
Hahahaha akina Ghati, Nchagwa,Wegesa na Rhobi.akina Yunge, Gindu, Nyandalo, Bukama, Bhoke hao vipi?