Umba Tuku
JF-Expert Member
- Feb 4, 2017
- 2,100
- 1,271
Ndio mi mwenyewe mwanamke mwenzie namkubali je mwanaume??
Da unanisaidiaje mkuu 🙂
Ndio mi mwenyewe mwanamke mwenzie namkubali je mwanaume??
Caroline malayaaaa kuna mmoja tulisomaga nae ni mashineee anapenda bwana za watu hasa wenye pesa...Sio kweli...
Labda useme
1.Caroline
2.Irene
3.Doreen
Kweli kila apolo na chimbo lake [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo ni orodha yako, na sisi tuna yetu bhana. Tena ni wanono kama makinikia.
Mwajuma
Kuruthumu
Kidawa
Mwalu
Milembe
Nyanzala
Nk.
Kwa hiyo usituaminishe hivyo, kila mgodi na madini yake bhana
mda sana nimepotezana naeDa unanisaidiaje mkuu 🙂
Wanakuwaga Malaya sanaJe na wakina Emmy
mda sana nimepotezana nae
Wanakuwaga Malaya sana
hahhahahaahahahahhahahahahah basi mkuu tuseme umetudanganya ona sasa umenikwaza 🙂
Haha nisingeweza kuwapiga ila nilitamani kweli. Nyie Endeleeni tu kushinda bar kama paka Eeeh lolhehehehehehe hukuwapiga hata picha ututumie wazee wa bar kutukumbusha majukumu yetu mengine.. Bila shaka huyo baba kapata darasa humu humu tena kwenye ile mada yetu ile..
Haaa!!! Mkuu hivi cocochanel ni upande wa pili?Mie wazuri na watamu nahisi ni hawa wafuatao.. Nasema nahisi kutokana na muonekano wao..
Nifah
Miss chagga
Cocochanel
Mahondaw
Carissa
Emmyta
Sakayo
Skylat
Ukuht
Amayabhu
Heaven sent
Shunie
Peny
Nashukuru nduguMie wazuri na watamu nahisi ni hawa wafuatao.. Nasema nahisi kutokana na muonekano wao..
Nifah
Miss chagga
Cocochanel
Mahondaw
Carissa
Emmyta
Sakayo
Skylat
Ukuht
Amayabhu
Heaven sent
Shunie
Peny
Kwani wewe ni domo zeze??!!
Pambanaa hukohuko uliko kaka