Kwanini Wanawake wenye majina haya yafuatayo huwa ni wazuri / watamu Kitandani?

Kwanini Wanawake wenye majina haya yafuatayo huwa ni wazuri / watamu Kitandani?

Kwahiyo hakuna hata muislam mmoja ambaye ni nzuri na mtamu kitandani! Mwe!!... Watake radhi.... Ila mimi namuona Lilian na Coletha wazuri na watamu balaa
Hapo kwa lily agiza chochote ntalipa.
 
Hiyo ni orodha yako, na sisi tuna yetu bhana. Tena ni wanono kama makinikia.
Mwajuma
Kuruthumu
Kidawa
Mwalu
Milembe
Nyanzala
Nk.
Kwa hiyo usituaminishe hivyo, kila mgodi na madini yake bhana

Nilipata kuwa na dada mmoja mganda anaitwa MILEMBE daaaaaaaa ni mtam na anaweza kukulana siku nzima ila kesho nyake haamki ni kuumwa kabisa
 
Back
Top Bottom