Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,168
Akuuuuuuuuuuu[emoji17] [emoji17]Taja jina lako halisi mkuu, tukujudge ,
Akuuuuuuuuuuu[emoji17] [emoji17]Taja jina lako halisi mkuu, tukujudge ,
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mmh hizi avatar kuna wakati zinadanganya khaaa
Ukawatamaniiii mwenyewe.. Kama awe ndiye yeye heheheHaha bora mgongwe na magari kuliko limbwata. Hapana bana, walikuwa kwenye kaeneo ka nyumba yao kwa mbele tu. Ungeona sasa kabinti kanavyoambiwa kanyonge pedeli sijui basi kakinyonga kanachekaaaa
Hehehe em niache banaUkawatamaniiii mwenyewe.. Kama awe ndiye yeye hehehe
Aunt usicheke bana teh[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Umesahau JoyceNawasilisha.
- Lucy
- Brenda
- Susan
- Catherine
- Grace
- Glory
- Janet
Kwenye hii sayari hakuna demu mtamu kama fatuma!Hujakutana na wanaoitwa wakina Fatuma aiseee! Bala nimekutana na kina Fatuma kama wawili hivi aisee huwa siwasahau wale wadada
Unataka kutunyima kitu mkuu,[emoji2]Akuuuuuuuuuuu[emoji17] [emoji17]
Wacha nicheke aunt yake mana si kwa hisia zile za avatar lolAunt usicheke bana teh
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unataka kutunyima kitu mkuu,[emoji2]
AiseeLucy, = luci fer
Mbona hiyo orodha haina majina kama Aisha hadija Asia halimaNawasilisha.
- Lucy
- Brenda
- Susan
- Catherine
- Grace
- Glory
- Janet
Hahahaaa. Sasa sijatajwa hata nikikanusha haitakuwa na maana cha zaidi nitaonekana nina wivu bure [emoji2]