Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,936
Kabisa yaan kwani kaonja majina yote duniani
Yawezekana katumia representative sample kwa kutumia cluster sampling strategy. Kumbuka utafiti haufanyiki kwa kutumia population nzima kwa sababu ni ngumu kufanikisha, na ikiwezekana basi hiyo ni census na gharama yake ni kubwa in terms of time and cost, na kwa njia yake ya experimentation lazima atazeeka. Au kupitia na ndugu, ni vyema akaondoa ndugu wa karibu wenye majina hayo.
Au ametumia non-probability sample halafu aka-generalise kwenye theory. Sasa kama katumia theory ni vyema akaisema.