Kwanini Wanawake wenye majina haya yafuatayo huwa ni wazuri / watamu Kitandani?

Kwanini Wanawake wenye majina haya yafuatayo huwa ni wazuri / watamu Kitandani?

Halafu kina Noela wapenda kutongoza wanaume haooooo,,,,,, huwa hawaubili kuambiwa nakupenda
 
Hiyo ni orodha yako, na sisi tuna yetu bhana. Tena ni wanono kama makinikia.
Mwajuma
Kuruthumu
Kidawa
Mwalu
Milembe
Nyanzala
Nk.
Kwa hiyo usituaminishe hivyo, kila mgodi na madini yake bhana
[emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umenifanya nicheke kweli duh!!!!!!. na Kidawa!!!..
 
Nyie watu wanafiki kweli hapa kila siku mnatuijia mara mabwawa mara visima sasa hivyo visima na mabwawa havina majina? Kila mtu anasifia jina alilokutana nalo duu Mungu hapendi unafiki
 
Lucy wako Hot sana Shida tu Wana katabia ka umalaya kitu kinachowapelekea kuwa watundu kweli Bed, Kuna hili Jin Jacqueline hamna kitu aseee,Halima mwake japo ni mama huruma sana kina Halima
 
Hiyo ni orodha yako, na sisi tuna yetu bhana. Tena ni wanono kama makinikia.
Mwajuma
Kuruthumu
Kidawa
Mwalu
Milembe
Nyanzala
Nk.
Kwa hiyo usituaminishe hivyo, kila mgodi na madini yake bhana

Bwana Mwasu mja Umesaau,..!?
 
Rais mtukufu toa ajira kwa vijana ili wawe bize kujenga taifa na siyo kujadili mada za watoto wa darasa la saba wakati hata mambo yenyewe hayaendani na miaka yao.

Ni vidume vichache hufanya mambo kulingana na umri wao.
 
Back
Top Bottom