Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Wanawake ni vile wamekua mama zetu na mama wa watoto wetu na binti zetu lakini ni jinsia yenye changamoto kwa kiasi chake, kuna baadhi ya makosa yanasababisha nayo ni malezi, tujitahidi sana kuwalea watoto wetu wa kike wawe wanawake kweli hapo kesho.