Kwanini wanawake wenye waume wafanyabiashara huwa wana uchungu sana na hela kuliko mwenye mali?

Kwanini wanawake wenye waume wafanyabiashara huwa wana uchungu sana na hela kuliko mwenye mali?

Wanawake ni vile wamekua mama zetu na mama wa watoto wetu na binti zetu lakini ni jinsia yenye changamoto kwa kiasi chake, kuna baadhi ya makosa yanasababisha nayo ni malezi, tujitahidi sana kuwalea watoto wetu wa kike wawe wanawake kweli hapo kesho.
 
Ni wanoko balaa wanaharibu sana public relation ya business nyingi,nakumbuka nikiwa chuo tulikuwa tunapiga part time jobs tuzama kwa jamaa moja wa TRA tumemaliza job fresh tu kwenye malipo ikawa vita mother akazingua na hela sio yeye katoa duh! alafu eti ana masters kapata uholanzi...
 
Wanakuwa wakali na uchungu sababu nilikuja gundua mwanamke yeye hawazi kuwa yeye ndio anaweza kutangulia kufa bali anawaza mi mwanaume ndio ataanza kufa.
 
Back
Top Bottom