Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #221
Asilimia 90 ni hivyoInategemea, Si kila mwembamba anamuoa mwanamke mwenye wowowo, Na si kila mwenye wowowo huolewa na mwanaume mwembamba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asilimia 90 ni hivyoInategemea, Si kila mwembamba anamuoa mwanamke mwenye wowowo, Na si kila mwenye wowowo huolewa na mwanaume mwembamba.
SawaMunene na mwembamba
hata uku akili inahitajika, huwezi mwangusha tembo kwa mikonoIla? !
HapanaKwani hujawahi kuona starlet inabeba fuso eehhh??
Hahahahahata uku akili inahitajika, huwezi mwangusha tembo kwa mikono
Naonaa hahahaNi sawa na kofuli na funguo
Mmmhhata semi trela ni bonge la gari ila kaufungua kadogo ndo kanawasha
Kwani hujawahi kuona starlet inabeba fuso eehhh??
hata uku akili inahitajika, huwezi mwangusha tembo kwa mikono
hata semi trela ni bonge la gari ila kaufungua kadogo ndo kanawasha
Ni sawa na kofuli na funguo
Hahaahahah haya bana sawa money pennyHapana
Labda kwenye Cartoon Network
DOH hatareewembamba huwa hatuchoki mapema
sauwaHahaahahah haya bana sawa money penny
aiseeMnene na mwembamba ndio inapendeza , sio mnene kwa mnene, lol