Kwanini wanawake wenye Wowowo kubwa Huolewa na Wanaume Wembamba?!

Kwanini wanawake wenye Wowowo kubwa Huolewa na Wanaume Wembamba?!

Nimefanya research zangu kila ninapoenda nakutana na mwanamke bonge au mwenye chura kubwa anaolewa au ana date mwanaume mwembamba (kimbaombao)

Sijaelewa siri ni nini katika maumbo haya maana naona mwisho wa siku kimbaombao ndio anateseka.. naona kama anavunjwaaa ahahahaah

Jaman kuna siri gani katika maumbo haya? Mwanamke mnene na mwanaume mwembamba?


ni big dick hakuna jingine zaidi ya hilo
 
Back
Top Bottom