Apo mkuu umepatia.
Nyodo zimewajaa mpaka tunawaona kama takataka.
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] yaaan analeta hamasa kitandanNi kweli mkuu.
Mwanamke mweusi abarikiwe sana.
HapanaVP wewe sio mweusi.
Basi tunatofautiana sana..mi demu akiwa mweusi basi siwezi kuwa naye labda nitapita tu...Yaani mimi mwenyewe ndo muumini Mkubwa wa madem weusi.. Nikiwaona napagawa kbs, na ham nje nje,... Hao weupe itokee tu, lakini siwezi furahia kbs.
Hebu tupatie darasa kwani mtume Alikuwa Rangi gani???Team rangi ya mtume......!
JoanahVice versa is true
Wanawake weusi wanapendwa na wazungu huko
Ila wa kiafrica wengi wanapenda weupe
Tena rangi nyeusi kwa nchi kama Korea huko hazikubaliki kabisa
Am black... tena ule wa kung'aa.. Kwangu mimi, skin yangu ndio the most sexiest part of my body. Wasiojikubali, hawaielewi tu thamani yaoTatizo kubwa sana ni kwamba wengi wa wanawake wenye rangi nyeusi huwa HAWAJIKUBALI kabisa.
Yaani kwa sababu ya rangi yao wanajihisi hawavutii, hawajiamini na wanaishia kujidharau.
Lakini kiuhalisia kabisa msichana mwenye rangi nyeusi ni Mzuri sana. So attractive.