Kwanini wanawake weusi wanapendwa sana na wanaume wengi?

Wako natural... Evolution imewafanya wengi wawe weupe na hasa watumia mikorogo....maana mwanga wa jua unawatesa mnoo.
 
Eti huko uani..!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Am black... tena ule wa kung'aa.. Kwangu mimi, skin yangu ndio the most sexiest part of my body. Wasiojikubali, hawaielewi tu thamani yao
Kuna wa kung'aa na ule wa kupauka. Wa kupauka unahitaji extra care, otherwise.....
 
Mungu hajapendelea, kila mmoja na uzuri wake, kuna unaoonekana na uliojificha. Ukiona mwanamke hana mvuto ktk sura bac huyo kuna kitu special ndn yake, ingia ukitafute. I love my look and I love my self [emoji8]
Me too I lov u[emoji8] [emoji39]
 
Shout out kwa Wanawake wote wanaojikubali na kujiheshimu.maana na amini thats the definition of real beauty.
Mtu ukiwa comfortable na confident na rangi yako iwe nyeusi,nyeupe,njano,maji ya kunde pamoja na umbo lako,uwe na makalio madogo au makubwa.. utavutia tu.Na kila mtu hawezi akaona uzuri wako,ndo ilivyo.
Kujibadilisha rangi au kujichukia havitakusaidia.Jipende(love yourself).Na jiamini.[emoji41]
Black is beautiful just as white is.
 
Nmebahatika kugegeda ngozi zote, weusi ni watamu sana...nahisi joto kali walilonalo linapelekea mccmko wa utamu kw wanaume! Wanawake wengi weupe ni baridi sana, ukiwa unamgegeda ni sawa na kula mboga icyokuwa na chumvi(waweza jaribu kula mboga bila chumvi)
 
Ndio mnavyojidanganya?? Ha ha ha ndio nyie mnaoamini kua mtu mweusi anapigwa au kuunguzwa na jua kuliko mweupe!!!! Ile kitu automaticaly inajoto,ndio ilivyoumbwa,,kama ulikuta ya mtu ina barid bas huyo àlikua amekata roho,ile kitu inajoto bhana hata mkiwa bafun we iguse uone inajoto Og. Watu tupo tofauti we unaweza penda kuduu kwenye barid ila mm naienjoy sana kuwe na joto kaliiii tena kusiwe hata na a/c ndo mzuka unapanda zaid
 
Wanatunza joto ktk miili yao na wakianza kazi hawana masihara.
Siyo cheaters.
Wengi tunapenda vyakula vya asili siyo vyenye viungo vingi hadi ladha inapotea.
Huyu mtoto ana-trend sana kwenye social network, nani ana namba yake anitumie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…