Kwanini wanawake weusi wanapendwa sana na wanaume wengi?

yule mtoto wajua anaelewa vidume wengi wanaviandama vitoto whitewhite..hivi ikitokea mwanaume akamtongoza kwa kumaanisha basi yule mtoto humkubali na kumpa mwanaume wake mapenzi ya kikweli ili kudumisha uhusiano wao kwani anaelewa akianza masihara basi..
 
Tatizo ni kuwa demu mweusi ni OG, mana hakuna mkorogo wa kufanya mtu awe mweusi ,tofauti na demu ambaye anapaka mkorogo awe mweupe,afu weusi wanakuwa na joto la asili si unajua BLACK ina akisi JOTO..........
nyeupe ndo inaakisi
 
Mngewapenda hao weusi mikorogo isingeuzwa ya kila namna.

Najivunia kua na rangi ya mtume from Dubai [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Am naturally awesome
Wapo wengi sana wanaowazimikia black. Wanasemaga wasukuma wanapenda weupe. Mi msukuma wangu kadata na weusi wangu. akiona ka-tube ka ajabu anauliza why unataka kuharibu hiyo rangi na cream. Nikipaka poda kupunguza kamng'ao usoni hataki. Anasema anapenda weusi wangu uking'aa km kitumbua kilichojaa mafuta.
 
Kwanini mikorogo inatoka sana siku hizi?
 
Kumradhi nitatumia lugha kali kidogo...

Mwanamke mweusi ana uke wa moto mnooo, unabana na unanata...pia wengi wao ni wapole na wataratibu, siyo vicheche...ukimpata umepata, kama ni mke wa mtu basi ujue hutamwacha hadi utafumaniwa tu penda usipende!
 
Umetumia njia gn kuthibitisha hilo mkuu mbn kama vile unausemea moyo wako.???
 
Siwapendi ila papuchi zao sasa, zi a jotooo kama jiko la mkaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…