Research yako imeishia hapo mkuu.No research no right to speak! Kabla ya kuandika to a ushahidi wa andiko lako la sivyo badilisha heading iwe kwann ninapenda wanawake weusi?
Kama chapisho lako lingekuwa kweli dada zetu wasingetumia muda na nguvu nyingi kujichubua.
From DubaiTeam rangi ya mtume......!
Tupo pamoja japo nawapenda hata weusi msinitenge ila mweupeaaaaahg halaf ukute mdigo ah ha ha utajuta kumfahamMwanamke mweupe wa asili mwenye naturally smoth texture ,sexy figure acha kabisa aise weka mbali na watoto, Anangaa kama taa, unatembea naye huku makofidence kibao
Halaf ukute na kazi anaijua mbona unakomaMkuu uko vizuri aiseee.
DuhSawa mkuu.
Tupiapo ka picha basi nimuone.