Kwanini Wanawake wote wanaonipa ushirikiano wao wa Kingono huwa wana..........

Kwanini Wanawake wote wanaonipa ushirikiano wao wa Kingono huwa wana..........

Huenda unanuka jasho mkuu, mwanamke kutema mate Ina maana anasikia kinyaa either kutokana na harufu mbaya au kuona kitu kichafu!

Kweli leo naona umeniamulia Mkuu. Haya bhana!
 
Kwanini Wanawake wote wanaonipa ushirikiano wao wa Kingono ( namaanisha ninaofanya nao ngono / mapenzi ) huwa nikishamaliza tu ' Kuwakojolea ' manii yangu ndani ya muda mchache tu huwa wanakuwa wanatema sana mate huku wakisema wanasikia Kichefuchefu?

Madaktari mliopo humu JamiiForums hebu naomba mnisaidie tafadhali ili niweze kujua ni hali tu ya kawaida na sahihi au labda Manii / Shawaha zangu zina matatizo au labda hawa Wanawake ninaolala nao pengine mifumo yao ya Ukeni ( Mbunyeni ) ina hitilafu kiasi kwamba hazipati ushirikiano wa Kutukuka na Mkuyenge wangu.

Nitawashukuruni.

Nawasilisha.
Wewe ni Deogratius Kisandu au ni Nabii Tito?
 
GENTAMYCINE Ujue ujue huwa unaweka story nzuri halafu unaingiza na utani humo humo uwe serious basi, dunia nzima hakunaga mwanaume ambaye ameshafikisha idadi hiyo ya wanawake kuwa nayo. wengine walisema huwa baada ya tendo msichana huwa anasikia tumbo linauma kwa muda kidogo halafu linaachia hivyo

Nimeanza ' ngono / kubaiolojika ' miaka 29 iliyopita na kila siku iendayo kwa Maulana nadi hivi sasa ' nabandua ' tu hivyo piga 365 X 29 utapata hilo jibu langu hapo juu.
 
Wewe ni Deogratius Kisandu au ni Nabii Tito?

Mimi ni GENTAMYCINE na majina yangu halisi ni Kalemera Rwigyema Mazimpaka Raia wa nchini Rwanda wa Kabila bora kabisa barani Afrika la ' Tutsi '. Kazi zangu Kubwa ni Uvuvi, Ukulima na Ufugaji huku Kwetu nilipo Mkoani Gisenyi. Sijui kuna lingine labda ungependa kufahamu kutoka kwa Mnyarwanda Mimi.
 
Sababu wanapata kichefu chefu. Mtu kutema mate ni dalili za kichefu chefu. So inawezekana unakinyaa flani hiv
 
Kweli leo naona umeniamulia Mkuu. Haya bhana!
Hahaha hapana mkuu, mm na Ww tumetoka mbali sana, najua Kuna demu tuliwahi kushare ingawa Ww hujui Hilo, demu wakati nakula mzigo akaanza kuomba radhi kwa kutembea na Ww wakati sijamuuliza na wakati Ww Unakula mzigo mm nilikuwa sijafahamiana nae.
 
Shikamoo Mkuu.
 
Hizo nguvu unazipata wapi

Sasa kama tu....

  • Breakfast yangu ni Uji wa Ulezi na Mihogo au Viazi vya Kuchemsha
  • Lunch yangu ni Ugali wa Mtama na Udaga pamoja na ' Kichuri ' na Mchicha bila kusahau pilipili Kali
  • Supper yangu ni Ugali wa Dona, Samaki, Kisamvu au Majani ya Maboga na Maziwa ya Mtindi

Nitaachaje ' Kukojoa ' manii ya Kutukuka kila uchao Mkuu?
 
Kwanini Wanawake wote wanaonipa ushirikiano wao wa Kingono ( namaanisha ninaofanya nao ngono / mapenzi ) huwa nikishamaliza tu ' Kuwakojolea ' manii yangu ndani ya muda mchache tu huwa wanakuwa wanatema sana mate huku wakisema wanasikia Kichefuchefu?

Madaktari mliopo humu JamiiForums hebu naomba mnisaidie tafadhali ili niweze kujua ni hali tu ya kawaida na sahihi au labda Manii / Shawaha zangu zina matatizo au labda hawa Wanawake ninaolala nao pengine mifumo yao ya Ukeni ( Mbunyeni ) ina hitilafu kiasi kwamba hazipati ushirikiano wa Kutukuka na Mkuyenge wangu.

Nitawashukuruni.

Nawasilisha.

Matamahuluku haya!
 
Jaribu nyanda za juuu kusini sidhani mwisho kabs angalia mikoa ya mangharibi mwa tanzania
 
Back
Top Bottom