Kwanini Wanawake wote wanaonipa ushirikiano wao wa Kingono huwa wana..........

Labda mimi nianzie hapa!
Yaani kwa karne hii ya 21 una ngonoka na wanawake wa Kila aina BILA KONDOMU???
Wewe umechoka KUISHI!!!!
 
doh! pole mkuu.
japo sijaona bado aliyetoa sababu za kitaalamu zinazoweza sababisha hilo
 
doh! pole mkuu.
japo sijaona bado aliyetoa sababu za kitaalamu zinazoweza sababisha hilo
mshauri aende na sample kwa daktari atampa suluhisho
vitu vikipimwa vinaleta majibu sahihi kabisa. Mbona tunapima mikojo bhana? nae ajaribu kupeleka manii zake labda atapata majibu
 
Hayo mate wanatema wapi chumbani kwenye godoro huo utakuwa uchafu
 
Blood group O+ na asthma hapati ngoma..hii mpya kwangu
 
mshauri aende na sample kwa daktari atampa suluhisho
vitu vikipimwa vinaleta majibu sahihi kabisa. Mbona tunapima mikojo bhana? nae ajaribu kupeleka manii zake labda atapata majibu
nadhani huu ndio ushauri bora uliotolewa hapa..
mkuu GENTAMYCINE husika na ushauri hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…