Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,826
- 7,388
AmenKila nikikaa naona
4-0
Duuu!!!
Nne nyingi wapunguzien kidogo
Za ndan kabisaNamuona MWARABU Akicheza kwa kushambulia kwa nguvu na kasi sana.
ANACHEZA huku akiwa analiona kombe.
NAONA YANGA wakipaniki
Na KUPOTEZA kwa Goli nyingi.
ARDHI ya MWARABU.
Kombe la CUF.
Na MASHABIKI WA MWARABU.
4-0
Kwa hatua waliyofikia wanapaswa kurud na kombeKwa hatua ambayo Yanga imefika inastahili pongezi, sidhani kama yupo mwanayanga ambaye anaweza kubeza mafanikio haya, wanaotafuta faraja kwa Yanga kufungwa ni wale wa timu pinzani, yaani kitendo cha Yanga kufungwa kwao ni faraja ya kusahau ubovu wa timu zao.
Kurudi na Kombe ni matokeo tu muhimu ni hii hatua waliyofikia..Kwa hatua waliyofikia wanapaswa kurud na kombe
Ikitokea wamelikosa itakua ni uzembe ambao wataujutia miaka mingi ijayo
Hatua waliyofikia itakua haina maana km watarud mikono mitupuKurudi na Kombe ni matokeo tu muhimu ni hii hatua waliyofikia..
Kama walioishia robo Fainali imekuwa Ina maana kwao iweje wanafainali waliokosa tu Kombe isiwe na maana?Hatua waliyofikia itakua haina maana km watarud mikono mitupu
Hawana akiliBaada ya mechi kwisha tuliwaambia ndugu zetu kuwa kulingana na walivyokuwa wanacheza marekebisho kidogo tu gemu la marudiano watapindua mazuria kibabe kilichotokea chupu chupu watung'oe taya km wangekua watu baki polisi ingehusika tukaona labda ni jazba kutokana na presha ya mechi
Na mpaka leo hii baada ya siku kadhaa kupita mwendo ni uleule kila mwanayanga ukimwambia swala la kushinda arabun anapandwa na jazba
Tatizo nini au hawaamin kama watashinda?
Duuu!!!Hawana akili