Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,826
- 7,388
Baada ya mechi kwisha tuliwaambia ndugu zetu kuwa kulingana na walivyokuwa wanacheza marekebisho kidogo tu gemu la marudiano watapindua mazuria kibabe kilichotokea chupu chupu watung'oe taya km wangekua watu baki polisi ingehusika tukaona labda ni jazba kutokana na presha ya mechi
Na mpaka leo hii baada ya siku kadhaa kupita mwendo ni uleule kila mwanayanga ukimwambia swala la kushinda arabun anapandwa na jazba
Tatizo nini au hawaamin kama watashinda?
Na mpaka leo hii baada ya siku kadhaa kupita mwendo ni uleule kila mwanayanga ukimwambia swala la kushinda arabun anapandwa na jazba
Tatizo nini au hawaamin kama watashinda?