Kwanini Wanayanga ukiwaambia mechi na Mwarabu watashinda wanaishia kutukana

Muuza Viat

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2022
Posts
2,826
Reaction score
7,388
Baada ya mechi kwisha tuliwaambia ndugu zetu kuwa kulingana na walivyokuwa wanacheza marekebisho kidogo tu gemu la marudiano watapindua mazuria kibabe kilichotokea chupu chupu watung'oe taya km wangekua watu baki polisi ingehusika tukaona labda ni jazba kutokana na presha ya mechi

Na mpaka leo hii baada ya siku kadhaa kupita mwendo ni uleule kila mwanayanga ukimwambia swala la kushinda arabun anapandwa na jazba

Tatizo nini au hawaamin kama watashinda?
 
Wameshakwambia watavaa medali...hilo kwao linatosha sasa habari za kushinda ww unaawaambia nini tena...
 
Duuu!!!

Nne nyingi wapunguzien kidogo

Namuona MWARABU Akicheza kwa kushambulia kwa nguvu na kasi sana.

ANACHEZA huku akiwa analiona kombe.
NAONA YANGA wakipaniki
Na KUPOTEZA kwa Goli nyingi.

ARDHI ya MWARABU.
Kombe la CUF.
Na MASHABIKI WA MWARABU.

4-0
 
Kwa hatua ambayo Yanga imefika inastahili pongezi, sidhani kama yupo mwanayanga ambaye anaweza kubeza mafanikio haya, wanaotafuta faraja kwa Yanga kufungwa ni wale wa timu pinzani, yaani kitendo cha Yanga kufungwa kwao ni faraja ya kusahau ubovu wa timu zao.
 
Za ndan kabisa

Mwarab kaandaa tochi km buku sasa haijajulikana kwamba wanachukua tahadhar km umeme ukikatika au kuna mengineyo
 
Kwa hatua ambayo Yanga imefika inastahili pongezi, sidhani kama yupo mwanayanga ambaye anaweza kubeza mafanikio haya, wanaotafuta faraja kwa Yanga kufungwa ni wale wa timu pinzani, yaani kitendo cha Yanga kufungwa kwao ni faraja ya kusahau ubovu wa timu zao.
Kwa hatua waliyofikia wanapaswa kurud na kombe

Ikitokea wamelikosa itakua ni uzembe ambao wataujutia miaka mingi ijayo
 
Wakati wanacheza fainali Sawadogo atakuwa anacheza kombolela na Okra
 
Kwa hatua waliyofikia wanapaswa kurud na kombe

Ikitokea wamelikosa itakua ni uzembe ambao wataujutia miaka mingi ijayo
Kurudi na Kombe ni matokeo tu muhimu ni hii hatua waliyofikia..
 
Sasa ni mwendo wa majungu tu
JamiiForums-1682953789.jpg
 
Baada ya mechi kwisha tuliwaambia ndugu zetu kuwa kulingana na walivyokuwa wanacheza marekebisho kidogo tu gemu la marudiano watapindua mazuria kibabe kilichotokea chupu chupu watung'oe taya km wangekua watu baki polisi ingehusika tukaona labda ni jazba kutokana na presha ya mechi

Na mpaka leo hii baada ya siku kadhaa kupita mwendo ni uleule kila mwanayanga ukimwambia swala la kushinda arabun anapandwa na jazba

Tatizo nini au hawaamin kama watashinda?
Hawana akili
 
Write your reply...tunarudi tena kwa kasi ya ajabu huku makabati yamejaa makombe, tena na mengine bado, cha ajabu waarabu weusi nao wapo tunawaona na tunawajuwa angalia kikosi ghali zaidi tz hana kombe hata moja hawa ni walugaluga tu aka maandazi . Eti usajili mkubwa fei.
 
Back
Top Bottom