Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

umenena kaka wa hiyari kama kawaida mwenye masikio na asikie.......... toka uchumba hadi ndoa hakuona dalili hizo naye alikuwa anahitaji raha kwanini asingemtafuta anayeendana na tabia yake?

Kweli dada yangu.....kuna mambo yanashangaza kama sio kustaajabisha.....
 
Shosti acha tutudhalilisha akina dada.
Ndani ya mwezi huu umepost zaidi ya mara 8 kulalamika kila mwanaume anayekugegeda hakufikishi....tulikushauri weee mpaka bundle zetu zikaisha....na mikono ikawasha. Leo umepost mumeo mpya hajui tIGo... kesho utapost baba yako amekulala...
 
Kweli dada yangu.....kuna mambo yanashangaza kama sio kustaajabisha.....

ndio yale mambo yakuingia kwenye ndoa ukijua utambadilisha muhisika........dada mpendwa achana na mawazo hayo kama unampenda mumeo kama unavyosema...... unapokuwa naye faradha ondoa mawazo hayo hakikisha unajiweka pale kama wewe na yeye vinginevyo mweleze unavyojisikia uwe huru
 

Hakika dada yangu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…