Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

umenena kaka wa hiyari kama kawaida mwenye masikio na asikie.......... toka uchumba hadi ndoa hakuona dalili hizo naye alikuwa anahitaji raha kwanini asingemtafuta anayeendana na tabia yake?

Kweli dada yangu.....kuna mambo yanashangaza kama sio kustaajabisha.....
 
Mficha maradhi kifo humuumbua kwa kweli kama ni mateso nayapata sana mpaka nimefika mahali najiona mtumwa wa mapenzi nampenda sana my hub mpaka kumsaliti naogopa but kila tuwapo faragha Kuna michezo naimis na naogopa kumwambia huu mchezo nilifundishwa na mpenzi wangu aliyenitoa usichana ila bahati mbaya alipata ajali akafariki toka apo naumis sana kwa kweli ..nadhani kwa watu wazima washaelewa ni mchezo gani huu naongelea nashindwa nianzeje mpaka huyu mume wangu anipe na nisikie raha ya mapenzi maana nimekua mtumwa kwa kweli ...natumia njia mbali mbali mbuzi kogoma kwenda,dog style but kiukweli naona haelewi ...naumia sana nifanyeje aelewe? Au nifanyeje niache na nisikie raha kama wenzangu?
Shosti acha tutudhalilisha akina dada.
Ndani ya mwezi huu umepost zaidi ya mara 8 kulalamika kila mwanaume anayekugegeda hakufikishi....tulikushauri weee mpaka bundle zetu zikaisha....na mikono ikawasha. Leo umepost mumeo mpya hajui tIGo... kesho utapost baba yako amekulala...
 
Kweli dada yangu.....kuna mambo yanashangaza kama sio kustaajabisha.....

ndio yale mambo yakuingia kwenye ndoa ukijua utambadilisha muhisika........dada mpendwa achana na mawazo hayo kama unampenda mumeo kama unavyosema...... unapokuwa naye faradha ondoa mawazo hayo hakikisha unajiweka pale kama wewe na yeye vinginevyo mweleze unavyojisikia uwe huru
 
Hakika dada yangu....
 
Back
Top Bottom