Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?


Tena kwa bahati nzuri anamtu ambaye hajagasia na hicho tunda. Nafasi hiyo ndiyo mahala pake yeye kumshinda shetani. Kinachomsumbua ni mawazo tu. Hivyo ajielimishe namna bora ya kuridhika na tendo la ndoa nje ya tundu la majitaka ambayo naamini haja itumia siku nyingi 12month?
 
Unajuaje kama si huo mchezo ndio ulisababibisha huyo mumeo wa kwanza kupata ajali na kufariki!na sasa unataka kupata msiba mwingine,jiandae maana this time inaweza kuwa ni wewe mwenyewe au baya kuliko hilo.
 
Jinga kabisa.
 
Unamaanisha instala kumpitisha jamaa yetu mtaroni?????????? [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Badilisha hicho kichwa Cha Habari... Andika
KUNA UCHAFU NATAKA KUMPA MUMEWANGU...
Shenz sana, nani kakuambia kutatuana rinda ni mapenzi..
 
mwanangu. Unajua Madhara ya Kuingiliwa Kinyume na Maumbile?

Mtafute Mwathirika wa Jambo Hilo Akuelezee Adha Anayokumbana Nayo Sidhani Kama Utajaribu tena Mchezo Uo.

Nadhani wewe ni Mtu Unae Amini Uwepo wa Mungu, lakini Napata wasi wasi kwamba Uenda ikawa Husomi Vitabu Vitakatifu Maana Kama Ungekuwa Msomaji Usinge Fanya Mchezo Uo Maana ni Laana Mbele za Mwenyezi Mungu.

Kilichopelekea Uangamizaji wa Sodoma Nyakati za Nabii Nuhu ni Mchezo wa Kuingiliana Kinyume na Maumbile.

Mimi nakushauri Umtafute Kiongozi wako wa Kiroho Akusaidie Maana hii ni Spirit imekuingia ni Mapepo ya Ufiranaji yanakusumbua

unahitaji kusaidiwa Mwanangu Mrudie Mungu Akusaidie Maana Adhabu yake ni Kubwa sana.

Maana imeangikwa Wafiraji au wafirwaji kamwe Hawata iona Pepo ya Mungu Kamwe.

Usikubali Shetani Akufanye Mtumishi wake Mwanangu, ishi kama Mungu Atakavyo.
 
Mnaponda bila kumuelewesha madhara. Tiririkeni madhara yake na wengine wajifunze. Halafu wengine wanafiki tu hapa!
 
Huo mchezo tafta mchepuko umpe. Kama ni mme wako wa ndoa usimpe hata sikumoja.
 
Unataka mumeo akufi.r.e......kha .....kweli Melo ana kazi kubwa ya kuficha identity za watu
 
Jiandae kutukanwa na manesi wakati wa kujifungua pindi utakaposhindwa sukuma mtoto kwa sababu nnya yatoka bila break, maluuun shwain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…