Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kama haelewi njoo hapa mie nshakuelewa
 
Hivi Mwanaume kujifanya mwanamke na kuandika mada kama hii

UNAJISKIAJE?
 
Icho kidendo kibaya sana katika imani zote ni mbaya sana nitazunguzia katika imani yangu ya Islamic ukiwa katika ndoa utakiwi hata kujaribu kumzungumzia mkeo ndoa imekufa sembuse kumuingilia? Kama upo katika ndoa ya kisilamu akifanya biashara hyo hakuna ndoa tena
 
Pooovuu! Usipofanya hili ndio humchukizi Mungu na ndio chukizo peke yake kwa Mungu?!

Vipi asiyefanya hili lakini anazika watu waliokotwa wamefungwa kwenye viroba bila kufanya uchunguzi?; Vipi anayeiba madawa hosoitali na kusababisha vifo vya wagonjwa sio chukizo kwa Mungu?

Katika makosa kuna makosa ya uchafu haya humhusu mtu binafsi lakini makosa yasiyosameheka ni yale mwanadamu atendayo dhidi ya mwanadamu mwenzie.
 

Na iwe kulingana na utashi wa nafsi yako....

Maana kila mmoja atabeba msalaba wake yeye mwenyewe....
 
Mmmmh Dunia inaelekea ukingoni
Mungu akusamehe.
 
Aisee

Kweli kwenye kuoa ntakua makini,.maana nisijepata mke kama wewe apo dada unaetaka kumpitish mumeo kwenye mfereji wa majitaka
Usipoutumia ww wapo watakaoutumia uache ivoivo na uulinde kama mboni ya jicho lako
 
Ule unaitwa "mchezo kunuka " balaa!!!
 
Mbona nasikiaga mnaita "sunna?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…