Sizingui ujue inasikitisha hali ya wanawake wa sasa ni tabu aisee
[emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ni kweli lakini hatuna budi kukubali matokeo kwa sababu vizazi huwa vinabadilika kutokana na mazingira na mifumo ya kibinadamu pia ambayo kila siku hubadilika, hivyo hufanya baadhi ya mambo kuwa kitendo cha kawaida kufanyika katika jamii husika.
Mfano:
Kwenye miaka ya 70's na 80's ilikuwa ni vigumu watu kushiriki baadhi ya mambo katika jamii kama vile kijana kufanya mapenzi katika umri ambao haujamruhusu na hata kabla ya ndoa, ama mke wa mtu, au mume wa mtu kufanya mapenzi angali wapo kwenye ndoa, kufanya mapenzi kinyume, na maumbile, mtoto kukataa shule na kuamua kufanya uhuni mitaani, msichana ama mvulana kuvaa Nguo za ajabu na zisizo eleweka mbele ya wazazi,
Lakini ukitizama karne hii na miaka ya sasa utaona kuwa ni jambo la kawaida Mzee kushiriki ngono na binti mdogo, wanafunzi kushiriki ngono, mashoga nao ongezeko kubwa mitaani,
Basi tambua kwa hii mfumo wa wanawake kupenda kushiriki ngono kinyume na maumbile ni jambo la kawaida kwa sasa ingawa sio wote wanaopenda kushiriki hilo tendo la ngono kinyume na maumbile.
Haya ni mambo ambayo yalikuwepo hapo kale na sasa yanajirudia kwa kasi kubwa na asilimia kubwa mno, na huko mbeleni bado yataendelea kuwepo,
Hivyo ni vyema ufanye kile ambazo unaona kinafaa kwa sababu kila mtu anayo siri nzito moyoni mwake na mambo ambayo alikwisha yapitia na anayotarajia kuyafanya, hiyo ni siri ya mtu binafsi. Kikubwa ni kumuomba mwenyezi mungu atusaidie kuepukana na haya mambo ya waliwengu na ya kidunia pia........
[emoji4] [emoji4] [emoji120] [emoji120]
[emoji12] [emoji95] [emoji379]